Kwa mara ya kwanza, tumeonyeshwa jinsi Majengo marefu ya GTC yanavyofanana kutoka ndani

They know where to put their money. Nyinyi jazeni zile gorofa zenu tatu kwanza ndio at least mtapata hata investor moja ajenge gorofa ya 10 floors happy Dar.
Sio tatu pekee Zipo nyingi sana,
Sema hizi zote zimejengwa kwa Pesa za Watanzania, yaani waafrica weusi kama wewe ( Black Power )
JamiiForums1082780687.jpg
JamiiForums289219642.jpg
20210724_145754.jpg
IMG_20200628_174830.jpg
 
They know where to put their money. Nyinyi jazeni zile gorofa zenu tatu kwanza ndio at least mtapata hata investor moja ajenge gorofa ya 10 floors happy Dar.
Unlike majirani zetu, Wabongo tumejenga Jiji kubwa na la Kisasa zaidi Africa Mashariki na kati bila misaada ya wasamaria kutoka uchina wala ulaya ya kati na Marekani.
Moral of the story : Siri ya mafanikio ni Kujiamini na Kuthubutu.
dar.jpg
IMG_20200804_063442.jpg
tapatalk_1584014319299.jpg
JamiiForums278921921.jpg
 
Attachments

  • dsm22.jpg
    dsm22.jpg
    79.9 KB · Views: 2
Hii video inaonyesha jinsi Majengo ya GTC ni ya kisasa na yanavutia kweli. Halafu upeo kutoka juu la jengo ni nzuri sana. Mtu anaweza kutazama Nairobi yote bila tatizo

Mmejipangaje na magaidi?
 
Unlike majirani zetu, Wabongo tumejenga Jiji kubwa na la Kisasa zaidi Africa Mashariki na kati bila misaada ya wasamaria kutoka uchina wala ulaya ya kati na Marekani.
Moral of the story : Siri ya mafanikio ni Kujiamini na Kuthubutu.
View attachment 1871047View attachment 1871049View attachment 1871051View attachment 1871052
Hahaha usibadilishe story bro. Your sick country cannot atrract foreign investments into your real estate sector ndio maana mumeamua kujenga ghorofa zenu wenyewe. Sio kwamba mlichagua, la. Ni kwamba hamkuwa na option nyingine ila kujenga wenyewe maana investors waliwakataa. Investors wa real estate wanajua nchi yenu ni mbovu na hawawezi kuja kuwekeza maghorofa za kisasa huko.
 
Kipi bora? Ujenge mwenyewe au usaidiwe?
 
Back
Top Bottom