Kwa mara ya kwanza ulipopata taarifa ya kifo cha J.k Nyerere ulijisikiaje?

Kwa mara ya kwanza ulipopata taarifa ya kifo cha J.k Nyerere ulijisikiaje?

nakumbuka sana siku hiyo rais mstaafu Mkapa mwaka oktoba14,1999 saa saba mchana aliutangazia umma kuhusu kifo cha nyerere,nilikuwa niko form 1 tosamaganga kwa kuwa nilikuwa bado kinda kile kifo cha nyerere niliposkia niliona jambo la kawaida kiukweli,sasa nina majukumu nimegundua ubaya wa kifo cha mwalimu jinsi maisha yanavyonigonga
 
ukifanikiwa kukutana na Mtikila muulize swali hilo.
Jibu atakalokupa ndio na mimi litakuwa la kwangu.
 
MI NILIJISIKIA KAWAIDA KAMA WENGINE WANAVYO KUFA sikulia nilisikitika tu kwakuwa ni binadam mwenzangu lakn namchukia kupita maelezo na nikisikia tu jina lake napata kichefuchefu alaf nahis kizunguzungu
 
Hizo ni dalili za ugonjwa wa mapepo
 
.........Kweli namchukia sana huyu kafiri natamani angekuwa hai nikafanikiwa kumuua kwa mikono yangu mwenyewe.........
 
.........Kweli namchukia sana huyu kafiri natamani angekuwa hai nikafanikiwa kumuua kwa mikono yangu mwenyewe.........[/QUOT
Kama dini yako ndiyo inayokufundisha kufanya mauwaji basi dini hiyo ni ya shetani nawe ni wakala wa shetani!
 
Nuliendelea kusikitika sababu ni siku kumi tu zilikuwa zimepita tangu mama yangu afariki so uilinikumbusha nilikotoka
 
Kuna wapumbav flan walifikia kuzimia, yaan walimuona huyu m2 kama mungu wao! aisee! nikikumbuka 2livyokuw 2napigana vikumbo kila linapokuja gar la UGAWAJI mtaan kwe2 kugombea unga wa njano (YANGA)! kwangu mimi niliona poa 2.
 
Hoja yako inafanana sana na jina lako. Ptuuuuu!
 
Mi nilikuwa primary that time na ilinilazimu kutembea kwa miguu umbali wa takribani km 75 kwenda kushuhudia mazishi yake kijijini Butiama. It was a sad time to me kwa kweli.
 
Muulize pia farst jet alijisikiaje? Alafu waambie watawala wa kipindi hicho watueleze ukweli. Nyerere alienda kuchunguzwa afya au alienda kutibiwa?
 
Back
Top Bottom