zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mbowe azomewe Sumbawanga? Uko serious? Huko si ndio walimkataa kabisa JPM.... Huko Kanda ya Nyasa wameshaamka zamani sana wameikataa CCM miaka mingi iliyopita. 2025 utapata majibuNimemsikia mm Kuna muda mbowwe kazomewa mkutanoni Hadi akanyamaza akasema TULIAAAA Kisha akaendelea kumtukana Magu.
Nawauliza CDM na mbowwe,
Kwani ni LAZIMA Kila mkt akishika mike lazima Amshukuru Sa100 na kumtusi Magu?
Nauliza kwani ni LAZIMA?
Tangu lini Mpinzani Kila mkutano anashukuru Serikali kabla ya kuhutubia wananchi?
Badilikeni.
Mtachokwa mapema. Yaani mnakuwa kama TLP ya Mzee Mrema enzi za Magu.
Anyway naisupport CDM,Mbowe azomewe Sumbawanga? Uko serious? Huko si ndio walimkataa kabisa JPM.... Huko Kanda ya Nyasa wameshaamka zamani sana wameikataa CCM miaka mingi iliyopita. 2025 utapata majibu
Sema sina uhakika na uCHADEMA wakoHabari jf ,kwanza niweke Wazi Mimi ni mfuasi wa lile kundi linalosemwa vibaya la Hayati JPM na msimamo wangu utabaki pale pale ndiye best president to rule this country .
CHADEMA kiuhalisia ukiwatoa Wilbroad slaa na Tundu Lissu hakuna kiongozi aliyewahi kuwa serious na kuchukua Nchi ,ni huwa wanaingiza mtu kugombea au anagombea Mwenyekiti kama ushahidi tu .
Hivyo Kwa akili yangu timamu 2025 mbali na kuwa na dalili :-
1.Mwenyekiti Mbowe kuwa hana makali tena kutokana na makubaliano ya maridhiano
2.Nafasi zilizopo ni upande wa ubunge na madiwani upande wa Urais hakuna namna
Nitakuwa upande wa chama changu CHADEMA na nitashawishi wananchi wengine wakiunge ili tuweze chukua dola na sio wabunge maana 2025 nafasi iko Wazi .
Wananchi tuwasamehe CHADEMA na tuwaunge mkono tena .
"Say NO to CCM "Uwezo wao tushaujua hautoshi kutuletea maendeleo .
Tusisahau Katiba MPYA sio jambo la kuombwa na la CHADEMA peke yake ni jambo la kila MTU tuungane ipatikane .
Mwambieni mkt anakera,Mbowe azomewe Sumbawanga? Uko serious? Huko si ndio walimkataa kabisa JPM.... Huko Kanda ya Nyasa wameshaamka zamani sana wameikataa CCM miaka mingi iliyopita. 2025 utapata majibu
Baada ya kumtusi Magu Kuna watu walizomea, akasema TULIAAAA!!
Akarudia tena kumtukana mara ya pili,
Nenda u tube angalia video,
Mkt ni kama ana maelekezo.
Shida hawana sera za kutushawishi kazi Yao ni ulalamishi na ku list matatizo ya TanzaniaHabari jf ,kwanza niweke Wazi Mimi ni mfuasi wa lile kundi linalosemwa vibaya la Hayati JPM na msimamo wangu utabaki pale pale ndiye best president to rule this country .
CHADEMA kiuhalisia ukiwatoa Wilbroad slaa na Tundu Lissu hakuna kiongozi aliyewahi kuwa serious na kuchukua Nchi ,ni huwa wanaingiza mtu kugombea au anagombea Mwenyekiti kama ushahidi tu .
Hivyo Kwa akili yangu timamu 2025 mbali na kuwa na dalili :-
1.Mwenyekiti Mbowe kuwa hana makali tena kutokana na makubaliano ya maridhiano
2.Nafasi zilizopo ni upande wa ubunge na madiwani upande wa Urais hakuna namna
Nitakuwa upande wa chama changu CHADEMA na nitashawishi wananchi wengine wakiunge ili tuweze chukua dola na sio wabunge maana 2025 nafasi iko Wazi .
Wananchi tuwasamehe CHADEMA na tuwaunge mkono tena .
"Say NO to CCM "Uwezo wao tushaujua hautoshi kutuletea maendeleo .
Tusisahau Katiba MPYA sio jambo la kuombwa na la CHADEMA peke yake ni jambo la kila MTU tuungane ipatikane .
Anyway naisupport CDM,
Bt iache Utaratibu wa mkt kuanzia na shukrani Kwa sa100 na kumtukana Magu,
Kinatakiwa kionyeshe kuwa baada ya Katiba mpya kitasimamisha mgombea urais ktk next election.
Chukueni UKWELI huo. LISSU mbona anamsema sa100, kwann Mbowe hathubutu?
Yule ni kiongozi wa watu, lazima aonyeshwe alipokosea Ili arekebishe Kwa maslah ya wananchi.
CCM ndo ilituletea huyo Magu, kumshukuru sa100 ni kuisafisha CCM ilohusika na maamuzi ya kufungia mikutano.Kwahiyo kuzomewa ni ishara kuwa Magufuli hakuwa dhalimu? Tena ilitakiwa hata wote waliohudhuria wamzomee huyo Mbowe maana hiyo ndio demokrasia, lakini hiyo isingeondoa ukweli kuwa Magufuli alikuwa rais muovu fullstop.
Itoshe kusema mkt anaboaMwambieni mkt anakera,
Kila mkutano anashukuru khs mikutano kufunguliwa,
Anamtukana Magu kuifunga na kusahau kuwa Mikutano Magu alizuia Kwa miaka 5 na.... Sa100 akaendeleza ZUIO Kwa miaka 2 kinyume Cha Katiba,
Ukimuuliza Mbowwee ghafula aliyekufunga JELA Kwa miezi 8, gerezani aweza jibu ni Magu😳😳
Mbowewe asimame nafasi yake kama Mpinzani, aikosoe sirikali. Kumshukuru sa100 ni sawa na kuishukuru CCM.
CCM ndo inaumiza wananchi Kwa Kodi na mitozo Kwa wananchi, hapasi kuishukuru Kila mkutano.
Tunapambana KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA Ili Tupate mgombea binafsi.Uko sahihi, je kuna aliyekukataza ww kumsema Samia? Anzisha chama umseme Samia, sio ubaki kutoa maagizo kwa wengine ili yafikie matamanio yako.
CCM ndo ilituletea huyo Magu, kumshukuru sa100 ni kuisafisha CCM ilohusika na maamuzi ya kufungia mikutano.
Mnapoteza Bure wananchi walioamini ktk utendakazi wa Magu, siasa ni sayansi.
Yaani anavyomtukana Magu na kumshukuru sa100 waeza Dhani Magu alikuwa kiongozi Kutoka ACT wazalendo.Itoshe kusema mkt anaboa
Tunapambana KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA Ili Tupate mgombea binafsi.
Vyama vya upinzani vinatoka Kwa mstari.
Kiongozi aliyeizuia Bandari bubu za Wapigaji bandarini na kusaidia mizigo ya mataifa Jirani Kutoka Kwa haraka yaani apakwe mavi kana kwamba halipo lolote la maana aliloifanyia Nchi!!!Hao wananchi wenye imani na Magufuli ongea nao wakuunge mkono wewe kwa kuanzisha chama ili upate kura zao. Hakuna mtu ana muda wa kubembeleza kura kwa kuogopa kusema ukweli dhidi ya kiongozi aliyekuwa muovu.
Isitoshe nani amekuambia kuna uchaguzi kwenye nchi hii hadi kunyenyekea wapiga kura waliokuwa wanamkubali dhalimu? Huyo dhalimu ndio aliyenajishi chaguzi za nchi hii, kiasi kwamba hivi sasa hakuna mtu anayejitambua ana mpango wa kupiga kura.
Ni CCM ndo haitaki Katiba mpya Si Magu.Pambana, kisha waambie hao wananchi waliokuwa wanamkubali Magufuli kuwa alikuwa hataki katiba mpya.
Kiongozi aliyeizuia Bandari bubu za Wapigaji bandarini na kusaidia mizigo ya mataifa Jirani Kutoka Kwa haraka yaani apakwe mavi kana kwamba halipo lolote la maana aliloifanyia Nchi!!!
Magu asemwe Kwa mabaya na mengi MAZURI aloifanyia Nchi.
Upinzani huo WA kizamani hatuutaki.
Ni CCM ndo haitaki Katiba mpya Si Magu.
Nachotaka mkt akipanda jukwaani ameseme Kila kiongozi Kwa MAZURI na mabaya yake.Kamseme ww kwa hayo mazuri yake, wengine watamsema kwa mabaya yake. Ni suala la kugawana majukumu boss. Sio kila mtu ana muda wa kubalance ili kufikia matamanio yako.
Nachotaka mkt akipanda jukwaani ameseme Kila kiongozi Kwa MAZURI na mabaya yake.
Kama hawezi kusema na MAZURI basi aeleze Sera za CDM baas.
Kwani CDM Haina AGENDA Kwa sasa ni hizo tu?