zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mbowe azomewe Sumbawanga? Uko serious? Huko si ndio walimkataa kabisa JPM.... Huko Kanda ya Nyasa wameshaamka zamani sana wameikataa CCM miaka mingi iliyopita. 2025 utapata majibuNimemsikia mm Kuna muda mbowwe kazomewa mkutanoni Hadi akanyamaza akasema TULIAAAA Kisha akaendelea kumtukana Magu.
Nawauliza CDM na mbowwe,
Kwani ni LAZIMA Kila mkt akishika mike lazima Amshukuru Sa100 na kumtusi Magu?
Nauliza kwani ni LAZIMA?
Tangu lini Mpinzani Kila mkutano anashukuru Serikali kabla ya kuhutubia wananchi?
Badilikeni.
Mtachokwa mapema. Yaani mnakuwa kama TLP ya Mzee Mrema enzi za Magu.