Kura ya maoni ilikuwa na maana Gani Kwa Taifa ikiwa CCM ilihakikisha imevuruga Rasimu ikawa mbovu kuliko Katiba iliyopo?Alitamka kww mdomo wake na tulimsikia kwa masikio yetu, ifahamike tulikuwa tumefikia hatua ya kura ya maoni akagomea. Wakati wake hakukuwa na CCM, yeye ndio alikuwa CCM.
Huo mchakato Unadhani kwann haukumaliziwa na aliyekuwa madarakani wakati Ule?
CCM ndo haitaki Katiba mpya, msimsingizie Magu pekee.