heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Samahan ikiwa nimekosea jukwaa,but nia yangu ni kuzungumza na marafiki. Lakin samahan pia kwa nitakaemkwaza kwa thread yangu, japo nafaham wapo watakaochukia tuu,no matter what u do.
Ok,kuna watu wamekuwa wakihoji ni ipi haswa kazi yangu,japo wapio wanaokejeli kuwa najipendekeza ,etc bila shaka plofile imejieleza so nitapunguza maswali ya namna hiyo..na hapa sizungumzi na wale ambao kaz yao ni kukejeli ama kuchukia tu watu pasipo sababu.. nazungumza na marafiki ambao kweli walitaka kufaham majukumu yangu ni yepi.
na kuhusu mimi kuwa napost kuhusu Dai sizani kama ni vibaya.. me ni mtu wa karibu,nafamu info mapema kwa nini nisishare kwa fans?? na huwez niambia nipost kuhusu msanii flan ama flan,nikaaacha kupost habari kuhusu\mtu anaenilipa mshahara na isitoshe the more anafanikiwa,ndivyo
tuanaochangia mafanikio .tunafanikiwa pia.
Mwisho,wapo wanonibeza humu,wanabeza kaz yangu,etc...let me tell you....nimefanya kaz nae kwa mda mlefU sasa ni yeye anaefaham umhimu wa kaz yangu,ni yeye anefahm ubora na ufanisi wa kazi yangu..
Ni msani mkubwa mwenye pesa,kaz zangu zingekuwa mbovu ama ufanis wangu ungekuwa siyo angeshatafuta mwingine ,mda wowote na kwa pesa yoyote..lakin mfaham pia mbali na kufanya nae,nina manage social networks za celeb wengine kadhaa ikiwemo teentz.com ya Bdozen..na kuna
wengi wanaonitaka nifanye nao kazi so badala ya kukalia majungu kwa kuumizwa na mafanikio ya mtu.. Hebu tufanyeni kaz kwa bidii..
Ahsanteni,endeleeni kunisoma kwa taarifa exclusivu za Dai na kuna project kubwa inakuja kati ya Dai na msanii mkubwa Africa, soon nitawajuza mda mwafaka ukiwadia
Usiku mwema....