Kwa marafiki mnaohoji kazi yangu

Kwa marafiki mnaohoji kazi yangu

kazi yako na ya dai ni kazi mbili tofauti dai anaburudisha na wewe unampiga picha dai, sasa tatizo linakuja pale unapolazimisha watu wakufahamu wakati unashinda nyuma ya kamera kwahiyo unaleta vituko ilimradi tujue nawe kuwa upo, ilibidi sisi ndo tutafute nani kapiga picha hizi nzuri au hizi mbaya sio wewe kujitokeza bila kuulizwa, pia nakuomba uache kuandika kiingereza kwani mara nyingi huwa unakosea tumia kiswahili, mwisho jina kisura kwa mwanaume nadhani si zuri kwa akina kaka, pia hiyo wcb herufi b isimame kama brother's hakuna kusema umewatenga wanawake kwani kunashindano linaitwa bba sio tu linashirikisha wanawake bali wameshawai kushinda hao ambao sio mablaza
 
Nakushauri ukaongeze elimu,una tatizo kubwa sana kwenye lugha Kiswahili na Kingereza.Diamond ni msanii mkubwa na hajasoma so anapaswa kuwa na wasaidizi wenye upeo mkubwa then punguza kujisifu fanya kazi watu wakujue kutokana na kazi yako
 
Naona una majukumu mengi kijana pamoja na kuwa mpiga picha mkuu,nafikiri unayoyafanya yanapata kibali kutoka kwa mwajiri wako,mimi ninachokiona na nikuwa tatizo ni jinsi unavyowakilisha habari zina mhusu mwajiri wako,utoto umekuwa unachukua sehemu kubwa kuliko uprofessional,mizaha nakebehi ni nyingi kiasi kwamba inaonekana kamanimpiga debe na si mwajiriwa.Nafikri una bahati kuwa unafanya kazi zote za PR zinazomhusu mteja wako, na ili muonekane mko makini huna budi ubadilike au mugawane majukumu na ma pro wengine ,yaani awepo mpiga picha mkuu,awepo msemaji mkuu n.k.
Naamini ukiwa serious na kazi yako hiyo mizaha haitakuwepo ,vinginevyo all the best kijana,usimtegemee mtu tegemea kazi ,leo yupo ,kesho hayupo au kesho kabadilika so kuna mambo kama hivyo,kwani hakuna marefu yasiyo na ncha
 
mi n photographer,blogger na graphic designer
ninachokifanya ni kupost kila habari mhimu inayomhsu yeye na kundi
coz si wote wanaopitia thsisdiamond ama facebook na instagram
na ninafanya hivyo kwa sababu najiskia kufanya hivyo,siwez sema eti niakee nipost habari za msanii ama mtu asiyenihusu
by the way..ahsante kwa ushauri..
hizo kebehi na nini zinakuja kulingana na baadhi ya watu humu wanaojitoaga ufaham na kujfanya hamnazo.
 
Naona una majukumu mengi kijana pamoja na kuwa mpiga picha mkuu,nafikiri unayoyafanya yanapata kibali kutoka kwa mwajiri wako,mimi ninachokiona na nikuwa tatizo ni jinsi unavyowakilisha habari zina mhusu mwajiri wako,utoto umekuwa unachukua sehemu kubwa kuliko uprofessional,mizaha nakebehi ni nyingi kiasi kwamba inaonekana kamanimpiga debe na si mwajiriwa.Nafikri una bahati kuwa unafanya kazi zote za PR zinazomhusu mteja wako, na ili muonekane mko makini huna budi ubadilike au mugawane majukumu na ma pro wengine ,yaani awepo mpiga picha mkuu,awepo msemaji mkuu n.k.
Naamini ukiwa serious na kazi yako hiyo mizaha haitakuwepo ,vinginevyo all the best kijana,usimtegemee mtu tegemea kazi ,leo yupo ,kesho hayupo au kesho kabadilika so kuna mambo kama hivyo,kwani hakuna marefu yasiyo na ncha

na nikulekebishe tu,ndugu yangu..sipo hapa kujisifia ama kujitangaza watu wanijue mm ndie
nah si lengo langu...Mungu kanipa uwezo wa kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja
na ninachokifanya ni kama njia moja wapo ya kujijengea market..wapo wengi tu wanaohitaji huduma
ya ujuzi nilionao..na huwez jua tangu watu wamenifaham humu
ni deal nying kias gan nimekuwa nikizipata
japo tunakebehiana na kubezana ,najua nn nafanya
napata michongo ya pesa..
Bila shaka umenielewa mkuu..
sina lengo hilo ulilosema mkuu
maeneo mangapi watu wananiona na dai,show ngapu watu wananiona stejin nafanya yangu?
so lengo langu hapa ni market thats all..
kwa boss wangu na team yetu na mimi pia
 
hebu tupe ufafanuzi ni kwa nini mvulana unajiita kisura? watu wanajisevia?
 
hongera mwaya mpnz! hakuna kaz isiyo na changamoto!! always kitu chenye kuonyesha mafanikio lzm kipigwe vita! never ever to say never!
 
attachment.php

Samahan ikiwa nimekosea jukwaa,but nia yangu ni kuzungumza na marafiki. Lakin samahan pia kwa nitakaemkwaza kwa thread yangu, japo nafaham wapo watakaochukia tuu,no matter what u do.

Ok,kuna watu wamekuwa wakihoji ni ipi haswa kazi yangu,japo wapio wanaokejeli kuwa najipendekeza ,etc bila shaka plofile imejieleza so nitapunguza maswali ya namna hiyo..na hapa sizungumzi na wale ambao kaz yao ni kukejeli ama kuchukia tu watu pasipo sababu.. nazungumza na marafiki ambao kweli walitaka kufaham majukumu yangu ni yepi.

na kuhusu mimi kuwa napost kuhusu Dai sizani kama ni vibaya.. me ni mtu wa karibu,nafamu info mapema kwa nini nisishare kwa fans?? na huwez niambia nipost kuhusu msanii flan ama flan,nikaaacha kupost habari kuhusu\mtu anaenilipa mshahara na isitoshe the more anafanikiwa,ndivyo
tuanaochangia mafanikio .tunafanikiwa pia.

Mwisho,wapo wanonibeza humu,wanabeza kaz yangu,etc...let me tell you....nimefanya kaz nae kwa mda mlefU sasa ni yeye anaefaham umhimu wa kaz yangu,ni yeye anefahm ubora na ufanisi wa kazi yangu..

Ni msani mkubwa mwenye pesa,kaz zangu zingekuwa mbovu ama ufanis wangu ungekuwa siyo angeshatafuta mwingine ,mda wowote na kwa pesa yoyote..lakin mfaham pia mbali na kufanya nae,nina manage social networks za celeb wengine kadhaa ikiwemo teentz.com ya Bdozen..na kuna
wengi wanaonitaka nifanye nao kazi so badala ya kukalia majungu kwa kuumizwa na mafanikio ya mtu.. Hebu tufanyeni kaz kwa bidii..

Ahsanteni,endeleeni kunisoma kwa taarifa exclusivu za Dai na kuna project kubwa inakuja kati ya Dai na msanii mkubwa Africa, soon nitawajuza mda mwafaka ukiwadia

Usiku mwema....

Safi kijana !! Mi nakupongeza ! Hz tshirt sasa ???? Lete bana ila sio kila mtu baby wengine ni magentleman ? Mkumbushe bosi wako
 
Dogo we na bosi wako domo jiungeni chadema heshima itakuwepo.Soon mtaanza kuitwa makamanda.Bila hivyo mtaonekana machoko kila siku.
 
attachment.php

Samahan ikiwa nimekosea jukwaa,but nia yangu ni kuzungumza na marafiki. Lakin samahan pia kwa nitakaemkwaza kwa thread yangu, japo nafaham wapo watakaochukia tuu,no matter what u do.

Ok,kuna watu wamekuwa wakihoji ni ipi haswa kazi yangu,japo wapio wanaokejeli kuwa najipendekeza ,etc bila shaka plofile imejieleza so nitapunguza maswali ya namna hiyo..na hapa sizungumzi na wale ambao kaz yao ni kukejeli ama kuchukia tu watu pasipo sababu.. nazungumza na marafiki ambao kweli walitaka kufaham majukumu yangu ni yepi.

na kuhusu mimi kuwa napost kuhusu Dai sizani kama ni vibaya.. me ni mtu wa karibu,nafamu info mapema kwa nini nisishare kwa fans?? na huwez niambia nipost kuhusu msanii flan ama flan,nikaaacha kupost habari kuhusu\mtu anaenilipa mshahara na isitoshe the more anafanikiwa,ndivyo
tuanaochangia mafanikio .tunafanikiwa pia.

Mwisho,wapo wanonibeza humu,wanabeza kaz yangu,etc...let me tell you....nimefanya kaz nae kwa mda mlefU sasa ni yeye anaefaham umhimu wa kaz yangu,ni yeye anefahm ubora na ufanisi wa kazi yangu..

Ni msani mkubwa mwenye pesa,kaz zangu zingekuwa mbovu ama ufanis wangu ungekuwa siyo angeshatafuta mwingine ,mda wowote na kwa pesa yoyote..lakin mfaham pia mbali na kufanya nae,nina manage social networks za celeb wengine kadhaa ikiwemo teentz.com ya Bdozen..na kuna
wengi wanaonitaka nifanye nao kazi so badala ya kukalia majungu kwa kuumizwa na mafanikio ya mtu.. Hebu tufanyeni kaz kwa bidii..

Ahsanteni,endeleeni kunisoma kwa taarifa exclusivu za Dai na kuna project kubwa inakuja kati ya Dai na msanii mkubwa Africa, soon nitawajuza mda mwafaka ukiwadia

Usiku mwema....

Huku kuweka mayai yote kwenye kikapu kimoja kuna athari yake baadae!
 
christine ibrahim huwa nikisoma coments zako zid yangu
nakuona n aina ya wale wadada walokwisha kata ringi..full stress za maisha
madada mzuri mwenye mda na kaz zake hawez pata time ya kuwa naq chuki chuki za hivyo

hahaa haaa cjui y sikuona hii post yako...
naona una matatizo halafu unanitafuta
eti full stress za maisha naona unaota ndoto za mchana, ss stress nizitoe wapi wakati kila nachotaka napata?
halafu nikuchukie ww ili unisaidie nn bwana mdogo?kwanza kwa lipi?
wether nimekata ringi cjui o not ww inakuhusu nn, au ww ndo una cheti changu cha kuzaliwa bwana mdogo?
kumbe kazi yako humu kunifuatilia eeh?

stay away frm mi sawa,utoto wako wapelekee hao watoto wenzia
 
Back
Top Bottom