Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi unanipa raha kujianzishia Uzi kwenye jukwaa la macelebrity

Naona una majukumu mengi kijana pamoja na kuwa mpiga picha mkuu,nafikiri unayoyafanya yanapata kibali kutoka kwa mwajiri wako,mimi ninachokiona na nikuwa tatizo ni jinsi unavyowakilisha habari zina mhusu mwajiri wako,utoto umekuwa unachukua sehemu kubwa kuliko uprofessional,mizaha nakebehi ni nyingi kiasi kwamba inaonekana kamanimpiga debe na si mwajiriwa.Nafikri una bahati kuwa unafanya kazi zote za PR zinazomhusu mteja wako, na ili muonekane mko makini huna budi ubadilike au mugawane majukumu na ma pro wengine ,yaani awepo mpiga picha mkuu,awepo msemaji mkuu n.k.
Naamini ukiwa serious na kazi yako hiyo mizaha haitakuwepo ,vinginevyo all the best kijana,usimtegemee mtu tegemea kazi ,leo yupo ,kesho hayupo au kesho kabadilika so kuna mambo kama hivyo,kwani hakuna marefu yasiyo na ncha

Kumbe CAMERA MAN?!
Nilidhani MSEMAJI!
Celewi imeingiaje uku.
hongera mwaya mpnz! hakuna kaz isiyo na changamoto!! always kitu chenye kuonyesha mafanikio lzm kipigwe vita! never ever to say never!
![]()
Samahan ikiwa nimekosea jukwaa,but nia yangu ni kuzungumza na marafiki. Lakin samahan pia kwa nitakaemkwaza kwa thread yangu, japo nafaham wapo watakaochukia tuu,no matter what u do.
Ok,kuna watu wamekuwa wakihoji ni ipi haswa kazi yangu,japo wapio wanaokejeli kuwa najipendekeza ,etc bila shaka plofile imejieleza so nitapunguza maswali ya namna hiyo..na hapa sizungumzi na wale ambao kaz yao ni kukejeli ama kuchukia tu watu pasipo sababu.. nazungumza na marafiki ambao kweli walitaka kufaham majukumu yangu ni yepi.
na kuhusu mimi kuwa napost kuhusu Dai sizani kama ni vibaya.. me ni mtu wa karibu,nafamu info mapema kwa nini nisishare kwa fans?? na huwez niambia nipost kuhusu msanii flan ama flan,nikaaacha kupost habari kuhusu\mtu anaenilipa mshahara na isitoshe the more anafanikiwa,ndivyo
tuanaochangia mafanikio .tunafanikiwa pia.
Mwisho,wapo wanonibeza humu,wanabeza kaz yangu,etc...let me tell you....nimefanya kaz nae kwa mda mlefU sasa ni yeye anaefaham umhimu wa kaz yangu,ni yeye anefahm ubora na ufanisi wa kazi yangu..
Ni msani mkubwa mwenye pesa,kaz zangu zingekuwa mbovu ama ufanis wangu ungekuwa siyo angeshatafuta mwingine ,mda wowote na kwa pesa yoyote..lakin mfaham pia mbali na kufanya nae,nina manage social networks za celeb wengine kadhaa ikiwemo teentz.com ya Bdozen..na kuna
wengi wanaonitaka nifanye nao kazi so badala ya kukalia majungu kwa kuumizwa na mafanikio ya mtu.. Hebu tufanyeni kaz kwa bidii..
Ahsanteni,endeleeni kunisoma kwa taarifa exclusivu za Dai na kuna project kubwa inakuja kati ya Dai na msanii mkubwa Africa, soon nitawajuza mda mwafaka ukiwadia
Usiku mwema....

..hahahaha...anatangaza kazi za bosi wake na zake...mpiga picha anambwembwe huyu....
christine ibrahim huwa nikisoma coments zako zid yangu
nakuona n aina ya wale wadada walokwisha kata ringi..full stress za maisha
madada mzuri mwenye mda na kaz zake hawez pata time ya kuwa naq chuki chuki za hivyo