heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
- Thread starter
- #21
Gari ya CHIEF KIUMBE a.k.a CHIEF BEING MMEMRUDISHIA????????????!!!!!!! MBONA HUJAJIBU HOJA? Publicist unaliongeleaje hilo?
Hii ishu sijawai iongelea hata nikiiongelea still raia wa hum
mtajifanya hamuelewi,coz mshajipa majibu yenu so hata mkipewa majibu sahihi
hamwez elewa..
..nafaham wewe ni mwelewa maybe utanielewa..
sitak kuongelea story za eti chief alidai kampa dai
nikichuacho...Dai na Chief ni marafik sana tu na ninakumbuka ishu ya gari
Dai aliipenda akaomba auziwe ,na vile ni marafiki walikubaliana bei na akaachiwa gari..hayo mengine siyafaham
info zingine naku PM lara 1
Last edited by a moderator: