Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Hapo mkuu umekosea huyo mdada anajielewa mbaya sana wala hajakata ringi,wala sioni kibaya alicho coment
mi namshangaa, comment yangu yenyewe nimecheka tu hapo, eti namchukia sijui kwa lipi cmjui hanijui...watu wengine bana