Kwa marafiki mnaohoji kazi yangu

Gari ya CHIEF KIUMBE a.k.a CHIEF BEING MMEMRUDISHIA????????????!!!!!!! MBONA HUJAJIBU HOJA? Publicist unaliongeleaje hilo?

Hii ishu sijawai iongelea hata nikiiongelea still raia wa hum
mtajifanya hamuelewi,coz mshajipa majibu yenu so hata mkipewa majibu sahihi
hamwez elewa..
..nafaham wewe ni mwelewa maybe utanielewa..
sitak kuongelea story za eti chief alidai kampa dai
nikichuacho...Dai na Chief ni marafik sana tu na ninakumbuka ishu ya gari
Dai aliipenda akaomba auziwe ,na vile ni marafiki walikubaliana bei na akaachiwa gari..hayo mengine siyafaham
info zingine naku PM lara 1
 
Last edited by a moderator:
heaven on desert Umebadilika katika uandishi wako this time. Achana na misifa you will be higher.



Wish you the best
 
Last edited by a moderator:
Hongera mkuu..kumbe we we ndio una host teentz.com...mie nilijua...ni ya wale jamaa Wa G5 click .

Yeah g5 ndiyo waliyoidesign ..me ndie host but now inaitwa teamtz.com
na nimependa kufaham we ni vistor wake..maybe utanigea maoni ya nini niongeze na pia maoni uzuri na ubaya wa post zangu
ahsante Kipaji Halisi
 
Last edited by a moderator:
Hongera, ila hiyo project si ni Diamond na Iyanya sio?

Yeah zipo project mbili
Diamond kamshilikisha Iyanya na Iyanya kamshilikisha Dai
video shootin itafanyika UK ..Mungu akijaalia mwanzon mwa mwez wa 3
 
Huyo Dai ndio nani? alafu hakuna mtz mwenye pesa kama hiyo uisemayo.mimi binafsi nina web inayotumia seva zilizoko pasadena tx.US ila sina nyodo,nimekusoma maneno yako inaelekea wewe ni mtakasifa flani na husubiri kusifiwa.
 
.naona kama wafanya vyema pamoja na kwamba kutakuwa na maneno ya kashfa ama majungu humu ndani, si mbaya kwani hayo yote ni ushindani wa kibiashara hasa ukizingatia eneo ulilopo (yaani muziki na sanaa) una vijana wengi na inanifanya niamaini wengi wa wapingao kazi yako huenda wakawa washindani wa bosi wako, ko kuwa makini na ongeza mbinu za ushindani, lengo ni kutengeneza pesa na hizo ndo sifa za wavaa suruali. na pili baada ya kukutambua u nani na wafanya kazi gani kwanini usibadili ID na kuleta jina kamili ambalo haswaa ndo litumike KIBIASHARA, kinyume na hapo unatuchanganya HOD, funguka tumia jina kamili..mwisho piga kazi kijana madamu unatengeneza PESA, maneno ni mapangilio wa herufi tu (irabu na konsonati) mfano: B.w.e.g.e ni B+w+e+g+e ko yasikupe shida wala usitafute mda wa kujibu yasiyo kujenga.
 
heaven on desert
nilidhani kwa kuwa most of the time una hang na masupa star the like of diomond,kule instagram ungekuwa na 5K-6K followers.amount of 1590 followers is very low for a celebrity wannabe like you.amekushinda hata mdogo wangu ambaye ni self made popular instagramer na ana 3000 followers.you have a long way to go to become as femous as your boss.congrats though.
 
Last edited by a moderator:
Ushauliza nimejiunga lin instagram ndugu?
hata hivyo ulichokiongea hakina manitic najiomba samahan kwa kupoteza mda kukujibu
 
Last edited by a moderator:


shukran ndugu segere
 
Last edited by a moderator:
Huyo Dai ndio nani? alafu hakuna mtz mwenye pesa kama hiyo uisemayo.mimi binafsi nina web inayotumia seva zilizoko pasadena tx.US ila sina nyodo,nimekusoma maneno yako inaelekea wewe ni mtakasifa flani na husubiri kusifiwa.

nani kazungumzia mabo ya web hapa ,me cjisifu kama kueleza unachokifanya ni kujisu bas na wewe umejisifu
 
Jamaa anajisifia mademu wa jf mnamshobokea pm zao zimejaa teh teh teh kweli we mwehu kabisa halafu kila siku unatuharibia mmu na threads zako za kikum-a na mods hawafuti
 
Mwanaume mwenye tabia za kipunga utamuona tu kutwa kujitangaza futa threads yako humu siyo jukwaa lake unaboa sana we jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…