Kwa marafiki mnaohoji kazi yangu

Hapo mkuu umekosea huyo mdada anajielewa mbaya sana wala hajakata ringi,wala sioni kibaya alicho coment



mi namshangaa, comment yangu yenyewe nimecheka tu hapo, eti namchukia sijui kwa lipi cmjui hanijui...watu wengine bana
 
kwa sisi ambao tunajua division of labour endelea kuchapa kazi ila punguza mikogo we mtoto wa kiume eti. Otherwise thanx.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…