Kwa Marekani, mpira wa miguu(soka) ni mchezo wa wanawake?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Niliandika kama post nimeona nilete uzi nielewe fresh.

Timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa miguu US ndiyo inaongoza kwa kuchukua makombe mengi ya dunia. Ikiwa na makombe manne.

Nasikiaga pia Soccer moms! Je huko US mpira wa miguu ni mchezo wa wanawake zaidi? Kiranga Nyani Ngabu
 
Niliandika kama post nimeona nilete uzi nielewe fresh. Timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa miguu US ndiyo inaongoza kwa kuchukua makombe mengi ya dunia. Ikiwa na makombe manne. Nasikiaga pia Soccer moms! Je huko US mpira wa miguu ni mchezo wa wanawake zaidi? Kiranga Nyani Ngabu
US soccer si mchezo wa kwanza kupendwa kuna basketball na American Football. Ndiyo kwanza soccer imeanza kuipita baseball.

Kifupi kwa wanaune soccer si kipaumbele.
 
Kwa sio ndio kusema ma niga wakiona zile sura ngumu za Senegal wanaona ni kama wanawake wanasutana tu.
 
Niliandika kama post nimeona nilete uzi nielewe fresh. Timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa miguu US ndiyo inaongoza kwa kuchukua makombe mengi ya dunia. Ikiwa na makombe manne. Nasikiaga pia Soccer moms! Je huko US mpira wa miguu ni mchezo wa wanawake zaidi? Kiranga Nyani Ngabu
Hapana. Ni kwa vile tu duniani mpira wa wanaume ndo mchezo unaopendwa zaidi.

Hivyo, duniani , ushindani wa mpira wa miguu ni mkubwa sana kuliko ushindani katika mpira wa wanawake.

Kwa msingi huo, kuna kama usawa flani hivi kiushindani kwenye timu za wanawake maana hata kwenye nchi zingine, mpira wa wanawake si mchezo maarufu kivile.

Kwenye michezo, kukiwa na usawa flani kiushindani, hali hiyo inakuwa inatoa fursa kwa timu nyingi kuweza kushinda ubingwa.

Mfano Marekani kwenye ligi ya NFL, kuna kitu kinaitwa free agency.

Hiyo ipo ili kuleta parity kwenye ushindani na ndo maana ni vigumu sana kuwa na dynasties kwenye NFL hususan kwenye hii free agency era.

Ndo maana unaona kila mwaka kuna kuwa Super Bowl champion tofauti.

Mpira wa wanawake hauna muda mrefu kuchezwa hapa duniani.

Umeanza kuchezwa si muda mrefu uliopita hivyo hakuna nchi iliyo advantage kusema kwamba wao wamekuwa wakiucheza kwa muda mrefu kuliko wengine.
 
Nimekupata vema.
 
Niliandika kama post nimeona nilete uzi nielewe fresh.

Timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa miguu US ndiyo inaongoza kwa kuchukua makombe mengi ya dunia. Ikiwa na makombe manne.

Nasikiaga pia Soccer moms! Je huko US mpira wa miguu ni mchezo wa wanawake zaidi? Kiranga Nyani Ngabu
Hata timu ya Tanzania ya wanawake itacheza world cup mwaka huu, so kwa hoja yako je hapa Tanzania soka ni mchezo wa wanawake?
 
Niliandika kama post nimeona nilete uzi nielewe fresh.

Timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa miguu US ndiyo inaongoza kwa kuchukua makombe mengi ya dunia. Ikiwa na makombe manne.

Nasikiaga pia Soccer moms! Je huko US mpira wa miguu ni mchezo wa wanawake zaidi? Kiranga Nyani Ngabu
Hata Tanzania timu ya mpira wa miguu ya wanawake inafanya vizuri zaidi ya wanaume
 
Back
Top Bottom