Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
US soccer si mchezo wa kwanza kupendwa kuna basketball na American Football. Ndiyo kwanza soccer imeanza kuipita baseball.Niliandika kama post nimeona nilete uzi nielewe fresh. Timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa miguu US ndiyo inaongoza kwa kuchukua makombe mengi ya dunia. Ikiwa na makombe manne. Nasikiaga pia Soccer moms! Je huko US mpira wa miguu ni mchezo wa wanawake zaidi? Kiranga Nyani Ngabu
Kwa sio ndio kusema ma niga wakiona zile sura ngumu za Senegal wanaona ni kama wanawake wanasutana tu.US soccer si mchezo wa kwanza kupendwa kuna basketball na American Football. Ndiyo kwanza soccer imeanza kuipita baseball.
Kifupi kwa wanaune soccer si kipaumbele.
Hapana. Ni kwa vile tu duniani mpira wa wanaume ndo mchezo unaopendwa zaidi.Niliandika kama post nimeona nilete uzi nielewe fresh. Timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa miguu US ndiyo inaongoza kwa kuchukua makombe mengi ya dunia. Ikiwa na makombe manne. Nasikiaga pia Soccer moms! Je huko US mpira wa miguu ni mchezo wa wanawake zaidi? Kiranga Nyani Ngabu
Nimekupata vema.Hapana. Ni kwa vile tu duniani mpira wa wanaume ndo mchezo unaopendwa zaidi.
Hivyo, duniani , ushindani wa mpira wa miguu ni mkubwa sana kuliko ushindani katika mpira wa wanawake.
Kwa msingi huo, kuna kama usawa flani hivi kiushindani kwenye timu za wanawake maana hata kwenye nchi zingine, mpira wa wanawake si mchezo maarufu kivile.
Kwenye michezo, kukiwa na usawa flani kiushindani, hali hiyo inakuwa inatoa fursa kwa timu nyingi kuweza kushinda ubingwa.
Mfano Marekani kwenye ligi ya NFL, kuna kitu kinaitwa free agency.
Hiyo ipo ili kuleta parity kwenye ushindani na ndo maana ni vigumu sana kuwa na dynasties kwenye NFL hususan kwenye hii free agency era.
Ndo maana unaona kila mwaka kuna kuwa Super Bowl champion tofauti.
Mpira wa wanawake hauna muda mrefu kuchezwa hapa duniani.
Umeanza kuchezwa si muda mrefu uliopita hivyo hakuna nchi iliyo advantage kusema kwamba wao wamekuwa wakiucheza kwa muda mrefu kuliko wengine.
Hata timu ya Tanzania ya wanawake itacheza world cup mwaka huu, so kwa hoja yako je hapa Tanzania soka ni mchezo wa wanawake?Niliandika kama post nimeona nilete uzi nielewe fresh.
Timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa miguu US ndiyo inaongoza kwa kuchukua makombe mengi ya dunia. Ikiwa na makombe manne.
Nasikiaga pia Soccer moms! Je huko US mpira wa miguu ni mchezo wa wanawake zaidi? Kiranga Nyani Ngabu
Under 17 wetu pia nao wanaenda WC.Hata timu ya Tanzania ya wanawake itacheza world cup mwaka huu, so kwa hoja yako je hapa Tanzania soka ni mchezo wa wanawake?
Hata Tanzania timu ya mpira wa miguu ya wanawake inafanya vizuri zaidi ya wanaumeNiliandika kama post nimeona nilete uzi nielewe fresh.
Timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa miguu US ndiyo inaongoza kwa kuchukua makombe mengi ya dunia. Ikiwa na makombe manne.
Nasikiaga pia Soccer moms! Je huko US mpira wa miguu ni mchezo wa wanawake zaidi? Kiranga Nyani Ngabu