Kwa mashabiki na Viongozi wa Yanga

Kwa mashabiki na Viongozi wa Yanga

Mr. Miela

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2007
Posts
1,254
Reaction score
2,121
Wadhamini wa michuano ya CAF (club bingwa na shirikisho) ni total energies rangi yao ni nyekundu na huvaliwa na timu shiriki kwenye jezi zao.

Sasa basi Yanga mtavunjwa huo mwiko uko nyuma kwa kuvaa beji ya rangi nyekundu ya Total energies?
 
Hebu uwe unafwatilia mpira mkuu.
Hakunaga hizo mambo za kuvaa nembo ya mdhamini kwenye shirikisho wala klabu bingwa.
 
We ndiyo hujui, nembo zinavaliwa mabegani. Mlizoeshwa tz, huko msipovaa au kubadili rangi halisi ya logo ya mdhamini (total energies) mnalimwa faini kali.
Lete mfano wa timu zilizovaa hizo nembo msimu ulopita
 
Kanembo kenyewe ndo haka unako kaongelea?

Kama ni hako Yanga lazima watakaweka
 
Attachments

  • Screenshot_20221229-085442_1.jpg
    Screenshot_20221229-085442_1.jpg
    25.1 KB · Views: 2
Wadhamini wa michuano ya CAF (club bingwa na shirikisho) ni total energies rangi yao ni nyekundu na huvaliwa na timu shiriki kwenye jezi zao

Sasa basi Yanga mtavunjwa huo mwiko uko nyuma kwa kuvaa beji ya rangi nyekundu ya Total energies?
Mbona kuna mambo mengi tu ya kufanya kuliko kuifatilia Yanga. Mfano tukivaa au tusivae itawasaidia nini?
 
Wadhamini wa michuano ya CAF (club bingwa na shirikisho) ni total energies rangi yao ni nyekundu na huvaliwa na timu shiriki kwenye jezi zao

Sasa basi Yanga mtavunjwa huo mwiko uko nyuma kwa kuvaa beji ya rangi nyekundu ya Total energies?
Hizi ngada mnazianza kutumia asubuhi sanaa
 
Hapo hakuna ubishi washaingia kwenye Mashundano ambayo wanaoshuriki sio Mashabiki au watu wanaweza kuwapangia nini wanataka
 
Hayawezi kugoma ,yatavaa hivyo hivyo ilivyo na nyekundu. Hapa bongo huwa yanagoma sababu huwa yanategemea kutetewa na wanasiasa uchwara.
 
Wadhamini wa michuano ya CAF (club bingwa na shirikisho) ni total energies rangi yao ni nyekundu na huvaliwa na timu shiriki kwenye jezi zao.

Sasa basi Yanga mtavunjwa huo mwiko uko nyuma kwa kuvaa beji ya rangi nyekundu ya Total energies?
Watavunjwa huo mwiko huko nyuma.Unawatania utopolo!😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom