Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Dec 29, 2022 #21 Lupweko said: Anataka awavuruge tu mkuu, si anajua bado Feisal hajaripoti Kigamboni π Click to expand... Na wanafura kweli jamaa akiwagusa mwiko wao.πππ
Lupweko said: Anataka awavuruge tu mkuu, si anajua bado Feisal hajaripoti Kigamboni π Click to expand... Na wanafura kweli jamaa akiwagusa mwiko wao.πππ
DreezyD98 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2020 Posts 1,610 Reaction score 2,874 Dec 29, 2022 #22 Edit bandiko lako, halieweki. Teophil Mbunda said: Hapo hakuna ubishi washaingia kwenye Mashundano ambayo wanaoshuriki sio Mashabiki au watu wanaweza kuwapangia nini wanataka Click to expand...
Edit bandiko lako, halieweki. Teophil Mbunda said: Hapo hakuna ubishi washaingia kwenye Mashundano ambayo wanaoshuriki sio Mashabiki au watu wanaweza kuwapangia nini wanataka Click to expand...
Mike Moe JF-Expert Member Joined Nov 3, 2019 Posts 319 Reaction score 335 Dec 29, 2022 #23 W tony92 said: Kanembo kenyewe ndo haka unako kaongelea? Kama ni hako Yanga lazima watakaweka Click to expand... We kumbe fyatu hiyo ndio nembo total energies au unajikulupukia tu
W tony92 said: Kanembo kenyewe ndo haka unako kaongelea? Kama ni hako Yanga lazima watakaweka Click to expand... We kumbe fyatu hiyo ndio nembo total energies au unajikulupukia tu
tony92 JF-Expert Member Joined Jul 17, 2013 Posts 2,398 Reaction score 3,691 Dec 29, 2022 #24 Mike Moe said: W We kumbe fyatu hiyo ndio nembo total energies au unajikulupukia tu Click to expand... Usipende kudandia vitu usivovielewa, we ukiona lini klabu bingwa au shirikisho wakivaa nembo ya Total Energies zaidi ya hiyo nilipost hapo
Mike Moe said: W We kumbe fyatu hiyo ndio nembo total energies au unajikulupukia tu Click to expand... Usipende kudandia vitu usivovielewa, we ukiona lini klabu bingwa au shirikisho wakivaa nembo ya Total Energies zaidi ya hiyo nilipost hapo