Kwa masikitiko makubwa, mwandani wangu ananisaliti na wanaume zaidi ya wa 5

Hatari sana na mabinti wanajua sana kuwapanga wanaume na wote wanammega na wanamtunza.

Kuna mjinga mmoja mwishoni atakuja kumlipia mahari na kumfanya mke
Atatajiwa 3m mahari kwa vile binti katunzwa vizuri, kasomeshwa nk. Huu ni wizi wa mchana kweupe. Hivi vitu binafsi navipinga sana, unalipishwa mahari kwa mabinti wa namna hii kama sio wizi ni kitu gani.
 
Atatajiwa 3m mahari kwa vile binti katunzwa vizuri, kasomeshwa nk. Huu ni wizi wa mchana kweupe. Hivi vitu binafsi navipinga sana, unalipishwa mahari kwa mabinti wa namna hii kama sio wizi ni kitu gani.
Kulipia mahari malaya kama hao ni utapeli wa hali ya juu.

Mimi naona miaka hii mahari iondolewe tu maana watu wanaoa mabinti waliotumika sana na bado ataendelea kuliwa
 
Aisee
 
"Sina kinyongo wala sina mpango wa kumdhuru mtu."
Pole kinyongo lazima muhimu ni usimdhuru mtu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
I can feel the pain ya mwamba, umeona utulie na usiwe na kinyongo nae wala kuwa na npango wa kumdhuru. watu wengine wanaweza wakahisi ni ukomavu kumbe ni kwamba you might be so weak inside kwamba you can't do anything kwake

Hii inaweza ikawa inachagizwa na either unampenda sana, umemzoea sana na hauwez kuuruhusu moyo wako kumuachilia aende, unahisi kumkosa kutakuumiza zaidi ya hivo anavovifanya. Maisha ni magumu sana kuwa na mtu ambaye sio mwaminifu, inakatisha tamaa na kunyima nguvu ya kuendelea hasa kwa mtu unaempenda sana na uliyemzoea.

Mimi ningekuombea kwa mungu akupe nguvu ya kumuachilia aondoke, hamna mwanamke humo na hamna siku atakuja kubadilika.
Ni ngumu ila jitahidi uweze kumuacha jitahidi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…