Kwa masikitiko makubwa, mwandani wangu ananisaliti na wanaume zaidi ya wa 5

Kwa masikitiko makubwa, mwandani wangu ananisaliti na wanaume zaidi ya wa 5

Sipendi na naomba unisamehe wewe ni fala
shida ya afya ya akili ni kubwa humu nchini na sasa linawazonga hadi watu wenye afya ya Mwili 🐒

Tatizo la afya ya akili ni pamoja na kuwaza, kusema, kuamua kisha kutenda mambo ambayo yanakuathiri na kukuumiza wew mwenyewe 🐒
 
shida ya afya ya akili ni kubwa humu nchini na sasa linawazonga hadi watu wenye afya ya Mwili 🐒

Tatizo la afya ya akili ni pamoja na kuwaza, kusema, kuamua kisha kutenda mambo ambayo yanakuathiri na kukuumiza wew mwenyewe 🐒
Mkuu tuachane na uendawazimu mwanamke wa mwana anatombesha sana hawezi badilika
 
Kukuta chatting za mwanamke anakusaliti inaumza. Ila inaumiza zaidi pale unakuta kwenye hizo chat ni mwanamke ndiye anambembeleza mwanaume halafu huyo mwanaume ni kama hana time naye demu. Yaani dem ndiye anayeforce na ashaliwa. Hahaha.
 
Atatajiwa 3m mahari kwa vile binti katunzwa vizuri, kasomeshwa nk. Huu ni wizi wa mchana kweupe. Hivi vitu binafsi navipinga sana, unalipishwa mahari kwa mabinti wa namna hii kama sio wizi ni kitu gani.
Unalipa mahari mamilioni halafu kuna muhuni alimtoa bikra kwa Chipsi kavu za buku...

Ndoa ni utapeli.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu tuachane na uendawazimu mwanamke wa mwana anatombesha sana hawezi badilika
relax bas 🤣

mbona unauchungu sana si uwashauri majamaa yaachane na mke wa wenyewe bas 🐒

usimchochee ndungu yetu atoke njia kuu kwa meseji tu 🐒
 
Leo nimefanikiwa kushika simu yake na nilimuona akitoa lock so nikakariri lock passcode yake, kifupi chat za wanaume:-

1. Huyu nimekuta tu amemtumia text moja ambayo haina muendelezo, text inasema " natamani leo tukutane"

2. Huyu anaonekana amefika hadi chumba anachoishi huko chuo kifupi wamelana, miongoni mwa text ni yeye mwanamke akimuelekeza uyo jamaa kituo cha kushuka, kisha kuna text anamuomba avumilie bibie ataenda kupika chakula soon. Inaonekana jamaa alifika huyu mwanamke akiwa mbali, labda anafunguo au aliegeshewa mlango ili akija aingie.

Kuna text za karibuni February 20 za mwanamke akiomba akutane na jamaa, jamaa akasema ndo ametoka kazini amechoka siku nyingine.

3. Huyu anaonekana wanasoma wote, jamaa anaonekana alimjibu mwanamke mwengine kwenye kundi la chuo ki romantic, so huyu mwandani wangu mimi ndo analalamika kwanini anafanyiwa vile.
Kwenye whatsApp nimeona kuna picha ya chupi ambayo jamaa amereply ila bibie aliifuta.

4. Huyu inaonekana hawajawasiliana kwa muda mana text zao ni za kulaumiana kua kila mmoja hajali shida za mwenzake

5. Huyu pia anaonekana ni classmate, lakini text nilizokuta ni za mwanamke wangu akimwambia huyo jamaa wasitishe mapenzi mana yatawaletea uadui

6. Huyu jamaa anaonekana anatokea mkoa wa mbali, mana wameanza kuwasiliana kua ameshapanda basi na atafika usiku sana, text za mbeleni ni mwanamke anaonekana mchana alitoka kwenda darasani na kumuacha jamaa ndani, hivyo ametuma kua jamaa ajisikie " comfortable"

7. Huyu jamaa amepiga haipokelewi, hajui kua mwenzie yuko huku, text za mwisho za jamaa ni yeye kuomba wasitishe mahusiano mana anapata wasiwasi kua anaoiga simu usiku na mwanamke hapokei.

Pamoja na hayo, kwenye hidden album nimekuta picha alizopiga na wanaume wawili.

Mmoja wamepiga self, mwanaume akimbusu mwanake, wanaonekana wako chumbani ila wako na nguo zao, sijui ni baada ya game au vipi.

Picha ya mwanume wa pili mwanamke haonekani ila inaonesha wapo chumbani, jamaa yuko na bukta tu hana shati, na mwanamke ni kama kajifunika shuka mana inaonekana miguu yake tu.

Kuna tiketi mbili, moja ya kwenda tanga, na nyingine ni ya kilimanjaro.

Kuna picha nyingine tatu za kiuno, sijui ni nani alitumiwa. Hizi conversations zote ni za 2024, imagine?

Hapa amelala, nimerudisha simu kama ilivyokua. Sina kinyongo wala sina mpango wa kumdhuru mtu.
Pole sana ndugu. Nakusihi tu usifanye uamzi wowote wa kumdhuru.
 
Sema watoto wa vyuoni wana wenge sana, party and fake life huwaweusha, akishakuja kitaa huwa akili ndio huwa zinarudi kwenye default setting. Kuna bro wangu mmoja wa kitaa alikuwaga anamuelewa sana dem mmoja pale SAUT, na alikua akimuhudumia sana. Ila dem ndio alikua na akili za ajabu, mara wanaccm wameahidiwa kazi na mwakyembe bandarini wakimaliza chuo, mara atafanya kazi ggm sijui ex wake kamuahidi. Jamaa akachemka kapiga chini, sasa hivi mwanamke ni mtendaji wa kijiji magu huko, baada ya kukaa kitaa muda mrefu. Na anatafuta ndoa kwa nguvu.
 
Unfortunately, asilimia kubwa ya wadada hasa awe mzuri mzuri na ana shepu, lazima ana wanaume kuanzia 10 na kuendelea, achilia mbali wale wanaomega na kusepa now and then ambao kwa jumla wanaweza fika 100 na zaidi. Huyo ndio mwanamke wa Kitanzania wa kawaida, na huyo sio hawa wanaojiuza.
 
Kile sijaelewa ni hiki , ushapata evidence yote kuhusu hulka yake na bado unajipa moyo au unatakaje hivi ??? Ningekuwa ww ningeendelea kumla tu kimya ila tafuta chumba kingine na pia tafuta vibinti vingine nje, ila chumba ukishapata hama akiwa hayupo na potelea mazima. Huyo ukikaa naye utapata regrets nyingi sana mbeleni.
 
Pole sana mkuu ila kiufupi siku hizi wanawake wamechanganyikiwa. Ni kama wanahitaji wanaume wengi ili kukamilika uumbaji
 
Back
Top Bottom