Kwa masikitiko makubwa, mwandani wangu ananisaliti na wanaume zaidi ya wa 5

Usiahau kutulrtea mrejesho kwa maamuzi utakayoyafanya
 
Piga chini, maana wasipokuuwa kwa ukimwi watakuuwa kwa umaskini.
 
Hapo hakuna mke uyo tunaweza sema ni kahaba anayejitafutia kipato chake, kwanza kapime ukimwi ukiona upo negative shukuru mungu sana.
 
Napo na do akija kitaa kuanza kusaka ajira,ataongeza partners wengine na akipata ajira atapata workmates ambao nao huwa wapenzi aisee pole sana.
 
Watano mbona wachache sana.

Katika watu wanaokula Maisha ya Kuku kwa Mlija ni wanawake wa mjini.

Mtu ana Wapenzi 15 namba kwenye Phone book.

Anatuma ujumbe" baby hali yangu leo sio nzuri, sina pesa ya kula na boom halijatoka, naomba unisaidie japo elfu 15 tu"

Kwa kuwa wanaume wengi tunazidiwa akili na wanawake basi ktk hao 15 kuna watatu watalia lia njaa.

12 watatuma pesa, wengine elfu kumi kumi, wengine elfu 15 na wengine wanajikosa wanatuma 20, 30 hadi 50.

Ndio maana hata wake zetu wanaamini Tunahonga hata kama hajakukamata kwa sababu Wanauzoefu na sisi Wanaume tunapigwa kirahisi sana.
 
Hapo ndo changamoto inapokuja,wakijigundua hawamuoi,nayeye atakua anawaza hivyohivyo kua sina garantii ya nani angenioa,matokeo yake anakuja kua kama akina Fatma Karume.
Hao wote kila mtu kashambua vyupi
 
Una uhakika ni mwandani wako? Kwenye hio list kuna wengine pia wana mawazo kama yako wanajua wao ndo wamiliki
 
*****' 7+, Gono, ukimwi, UTI sugu, Nuksi na mazaga mengine.

Wenetu acheni kunyonya **** za hawa mademu ni uchafu sana.
 
Sipendi na naomba unisamehe wewe ni fala
 
mkuu inawezekana wewe ndo mchepuko wake na yeye ana mwandani wake. Kuwa makini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…