Kwa masikitiko makubwa, mwandani wangu ananisaliti na wanaume zaidi ya wa 5

Sasa ni lini break news yako kwa millard ayo tunapokea mkuuu kichwa cha habari AMPIGA MKE WAKE NA KITU KIZITO KICHWA AKIWA AMELALA
 
maisha yalivyo ya ajabu jamaa anaweza kumsamehe demu na wakarudi kama mwanzo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Akimsamehe ajue ndo kashakubaliana na hiyo tabia ya mwanamke wake kwa maisha yake yote.
Kwasasa watu wanafanya mapenzi sana hata inafikia kipindi namshangaa mwanaume mwenzangu ambaye bado ananyonya sehemu za siri za wakuitwa mwandani wake,maana uchafu ni mwingi sana na humu kuna baadhi ya wadada na wanaume wanamshangaa jamaa kuona mwandani wake ana wanaume watano tu,ilihali kuna watu wana wanaume wengi ajabu.
Ni hatari sana.
 
Ukweli mchungu.
 
Kua na amani babu, bibi hawezi kuchepuka.
 
Naweza sema ni mke, tumeishi wote kabla ya mambo ya masomo, ngazi za chini mimi ndo nimemsomesha, wazazi wananijua. Kifupi nilishakabidhiwa na wazazi wake muda mrefu.
Soma ule uzi wa yule jamaa aliyelipiza kisasi kwa kutoa hadharani kwa wazazi wa demu chats za demu na kusitisha ndoa.
 
Asa Mkuu Likitokea la kutokea Utatujulishaje maana utakuwa mikononi mwa polisi.

Pia huyo demu akijua umemsanukia ule msemo wa "Mwinda Huwindwa" unachukua mahali pake.

Kupanga ni Kuchagua.
 
Ukisema mwandani wako maana yake nini? Hilo jamvi la wenyeji ndo unamwita mwandani? Hauko sawa kichwani!
 
Ujengewe Sanamu[emoji23]
 
Naweza sema ni mke, tumeishi wote kabla ya mambo ya masomo, ngazi za chini mimi ndo nimemsomesha, wazazi wananijua. Kifupi nilishakabidhiwa na wazazi wake muda mrefu.
Mke Hasomeshwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…