Afisa_Nkai
JF-Expert Member
- Jul 5, 2025
- 504
- 1,071
- Thread starter
-
- #81
Anakukosea sana asee πAnafkiri mimi makeboπ
YeahWoohoo π₯³ ππ½
Yule jamaa najua kuwanyoosha sana hadi mnapanik.Nawaona mnavyobwatuka na huyo mwenyekiti wenuπ€£
Nampenda sana huyu bibie ile yeye hanipendi kisa uzee wangu π₯².Mbona unamchoka dada seran π
Panic mechanic πYule jamaa najua kuwanyoosha sana hadi mnapanik.
Umezeeka lini baba makebo?Nampenda sana huyu bibie ile yeye hanipendi kisa uzee wangu π₯².
Umetisha, nimecheka kinoma.Nimeamua rasmi kuondoka JF.ππΌ
Nimegundua ninapoteza muda mwingi
sana humu ndani, nitawamiss sana Wakuu. π
Nitarudi baada ya dakika 10
I always call the man 'mkoma masingo maza' π.Panic mechanic π
Miaka 44 si haba.Umezeeka lini baba makebo?
Kwamba masingo maza wanaishi kwa pumzi yake, kwa kumuwaza yeyeπ€I always call the man 'mkoma masingo maza' π.
Sasa hapo una uzee gani bwana ndege?Miaka 44 si haba.
Muelezee namna unavyomzimikia na tabasam lake taanusiπ, na kiuno chake kam dondoraNampenda sana huyu bibie ile yeye hanipendi kisa uzee wangu π₯².
π π π
Jamaa ni bonge la comedian π π1. Nimeamua rasmi kuondoka JF.ππΌ
2.Nimegundua ninapoteza muda mwingi
3.Nitarudi baada ya dakika 10
Hii ndo JF au umelewa nikuache πHata mimi kila siku nasema nafanya kwa mara ya mwisho kumbe ndio kwanza naanza π
Jamaa akiwapigia yale makelele yake mithili ya Misanya bingi, basi masingo Maza jukwaani hutimka mbio huku wameshikilia sketi zao zisipeperushwe na upepo π.Kwamba masingo maza wanaishi kwa pumzi yake, kwa kumuwaza yeyeπ€
Wewe una mingapi? Nisije nikawa nabishana na binti yangu π.Sasa hapo una uzee gani bwana ndege?
Hahahaa labda kama kawagusa penyewe! Kama haujapitia anayoyaimba humu hata hakuwazishi! Ndiomaana mi naenda nae sambamba wala simu ignore!Jamaa akiwapigia yale makelele yake mithili ya Misanya bingi, basi masingo Maza jukwaani hutimka mbio huku wameshikilia sketi zao zisipeperushwe na upepo π.