hamada umelewa
JF-Expert Member
- Dec 17, 2017
- 428
- 791
Aanze huyo the so called "mama" kama hawezi kutimiza nia yake njema hafai kituKumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.
Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.
Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya mama haiwezekani kufanyika hata!
Piga chini hawa.
Sasa pale mei mosi angechomokaje bila kaneno ka faraja mkuuHaa aliambiwa aropoke kuwa atawaongezea watu watu misha mishahara ili amfunike mtangulize wwke watu wakapiga makofi alipoenda hazina akakuta amna kitu
Dah aisee , Siasa ni sanaa nyepesi sana . Yani mtu anatamka tu alafu anapotea .Sasa pale mei mosi angechomokaje bila kaneno ka faraja mkuu
Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.
Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.
Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya mama haiwezekani kufanyika hata!
Piga chini ha
Unaonaje wakiondolewa ukawekwa wewe hapo, ungeongeza mishahara kwa asilimia ngapi? π π πKumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.
Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.
Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya mama haiwezekani kufanyika hata!
Piga chini hawa.
Basi mwambie na mama, makamu,waziri mkuu, Mwigulu,Bachungwa,Doto,Mbarawa, Gwajima, Mwinyi,Uledi na wengineo wengi watoke sababu wote walikuwa awamu ya 5Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.
Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.
Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya mama haiwezekani kufanyika hata!
Piga chini hawa.
ulivoanza na tusi ni kama wamekubaka alafu unaona na wengine wabakwaKwahiyo wewe mpumbavu unaamini Rais samia anaweza kuwa na nia njema mawaziri wapinge?
Watu km wewe wenye akili ndogo huna hata hadhi ya kuajiriwa kuwa mkata nyasi
Mwanangu Mwigulu ???!!!Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.