Hii ni kwenu matajiri wa JF,
Heshima nyingi kwenu!
Nawaandikia baada ya kufikiri na kutafakari kwa kina juu ya hatima ya maisha yangu.
Kila nikitafakari na kuangalia kesho yangu naona kama hakuna nuru. Na kama maisha yangu yakiendelea hivi bila external force kuingilia kati naona dalili ya kufa pasipo kuonja mema ya nchi Mungu aliyotuahidia.
Hivyo basi, kwa heshima na taadhima naomba japo tajiri mmoja mwenye Roho Mtakatifu wa Mungu anikopeshe mtaji nami nimlipe kulingana na tutakavyokubaliana.
Natumaini ombi langu limefika. Mungu akubariki. Barikiwa.
Ahsante