King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mambo ya AI ,ni ngumu kuamini kama ni yeye unless ilirushwa live na vyombo vyote vya habari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi vi emoji unavyoweka kila baada ya maneno mawili ni summary tosha ya wewe ni nani. Pull up your socks dude!
Sawa sawa Ngoja nijue kama Askofu wetu(Malekana)nayeye anatumia..Yule Mmasai naoana ni Innocent.Konyagi mwitu sio mbaya..inaongeza uwezo wa kufikiri ikitumika kwa KIASI ☺️😊
Hii nchi inaongozwa na wapumbavu. Period. Criminality ya maneno ya Dr. Slaa iko wapi? Mimi nilidhani pengine alikuwa anahamasisha uhaini, kumbe alikuwa anaendesha uamsho wa kawaida wa kisiasa? Enzi za Kikwete, CHADEMA (kupitia Dr. Slaa) iliwahi kutoa list of shame ya mafisadi kumi na moja, akiwemo Kikwete mwenyewe, kama sikosei, lakini hakuna mtu aliyewekwa mahabusu hata kwa sekunde moja. What’s so special about Samia, zaidi ya kuwa kiongozi anayebebwa kwa mbeleko?Nisipoteze muda wenu, sikiliza wenyewe.
Mods tulikuwa tunajiuliza Huyu mzee kasema nini mpaka wamshikilie hivi? Spare this watu wajue the inside out of this saga
View attachment 3234463
Ni katili sn huyu mazaHuu uapuuzi wa muungano waliotuletea maCCM ni taabu sana
Nadhani aliongea kwenye Club house..Maana alivyokamatwa tu nikakumbana nayo.Ko ni kweli mkuu wala usiwe na mashaka na hiyo voice.Sijamaliza kuisikiliza yote sababu ni FAKE VOICE RECORDED, lafudhi kaanza nayo vizuri ila inaenda inapotea, aliyerekodi (maybe) alijaribu ila sitaki kuamini hiki hadi siku ifike.