Vipi kakaGari yangu ni aina ya premio old model inaniwashia alama ya check engine nimepeleka kwa mafundi lkn hiyo alama haitoki na kupelekea gari kuwa na mis msaada
Asante sana kw swali.Mkuu kwanza nikushukuru kwa elimu unayoitoa jukwaani hapa. Tatizo langu ni kuchelewa kuchanganya kwa gari yangu aina ya toyota nadia, ukitoka inakua nzito then baada ya muda kidogo inakaa sawa. Tatizo lingine kuna wakati inakua inavuma. Msaada wako mkuu
chukua cocacola mwagia hizo terminal wakati gari ipo off engineNina shida kidogo kwenye gari yangu aina Mazda demio... kuna wakat nakuta kama unga mweupe umeganda kwenye battery(terminal). Sijajua hasa tatizo nini. Naomba mnijuze
Shukran
Sory mr mkuzi coka ya baridi au yamoto.chukua cocacola mwagia hizo terminal wakati gari ipo off engine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ya motoSory mr mkuzi coka ya baridi au yamoto.
Check engine oil kama iko sawa. Mara nyingi Gari ikitetemeka ingini unakuta oil imepinguaMsaada, toyota wish cc1780 imeanza kula mafita. pia nikitaka kwenda speed zaidi ya 80 inatetemeka na kuvuma. sijui itakuwa na tatizo gani
Oil iko sawa na service ya mwisho ina wiki moja ambapo nilibadili hadi plug na air filter.Check engine oil kama iko sawa. Mara nyingi Gari ikitetemeka ingini unakuta oil imepingua
Naomba msaada wa toyota nadia, inakunywa sana mafuta, inakuwa mzito kuondoka na kuchanganya na inachelewa kubadili gear, pia ukiweka gear ya kuondoka huwa kama inajikita kidogo ...Habari za masiku wanaJF,
Kwa mda flani sasa nimekua nikifatilia swala la matatizo ya magari, na vyombo vya moto kwa jumla hapa, kwa sababu za kutoa ushauri - sio kw malipo, na pia huduma - kw mapatano.
Hapa naanzia uzi wa kutoa msaada wa mawaidha, utakavyofanya au fatilia tatizo ili uelewe utakavyotatua na kujibu maswali yoyote kuhusu ufundi wa magari na vyombo vya moto.
Napendekeza kuweka issue/tatizo hapa kwa forum ili wengine waeze kusaidika ILA kuna mambo yatabidi tuyagange nyuma ya pazia.
So, karibuni nyote.
Niligharamika sana kwa tatizo kama hilo kwa kudharau kufanya engine diagnosis, ilipeleka mpaka engine ku knock, tangu natafuta mzizi wa tatizo mpaka knock zimenitoka hela nyingi sana ambazo ningeweza ata kupachika new engine tu tena ilokuwa powerful kuliko ya mwanzo. Kumbe tatizo lilikuwa oxygen sensor tu. sasa mkuu nakushauri peleka gari ikafanyiwe diagnosis tu.... Haya mambo ikiwaka check engine ikiwaka eti fundi anakwambia ufanye service ni uzushi tu.Gari yangu ni aina ya premio old model inaniwashia alama ya check engine nimepeleka kwa mafundi lkn hiyo alama haitoki na kupelekea gari kuwa na mis msaada