Styvo254
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 246
- 227
- Thread starter
- #21
Vipi kakaGari yangu ni aina ya premio old model inaniwashia alama ya check engine nimepeleka kwa mafundi lkn hiyo alama haitoki na kupelekea gari kuwa na mis msaada
Unahitaji kufanyiwa diagnosis vizuri ili kuisoma hiyo code iliyoashiriwa na taa. Karibu umtafute fundi ana Techstream au uende kw Toyota Tanzania waifanyie diagnosis.