mabala family
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 228
- 258
Hizo battery zipo ambazo ni mantainance free? Maana nina tatizo hilo la c kwa kiwango hichoVipi Chilubi,
Pole sana kw kero hilo la battery. Nina uhakika problem ni battery. Weka battery ya Chloride Exide kisha nambie matokeo.
Asante bosiHakuna madhara yeyote.
Zilkua na harufu/unyevu wa petroli au ni oili?Naombeni msaada gari yangu ilikua na tatizo la mis fundi akaniambia shida ni plug baada ya kuweka mpya kweli gari ikakaa sawa lkn baada ya lisaa limoja tatizo tena la misi likajitokeza kuangalia plung ni nyeusi kabisa tiiii zinaonesha hazichomi tena mafuta naombeni ushauri nifanyeje ili plug ziwe zinachoma??
Ni nyeusi tuu hazna unyevunyevu wala harufu yeyoteZilkua na harufu/unyevu wa petroli au ni oili?
Shukran Mkuu nilibadili Jana ngoja niitazamie japo km 5000 ntaleta mrejesho,pia niliambiwa zipo bp castrol zenye kutembea km 7000 je material ni sawa yaani zina hiyo sytheticOili za synthetic kama vile Total Quartz 9000, Mobil 1, Shell Ultra na zinginezo ndio mwafaka na mitambo ya kisasa.
Naamini hapa Bongo katika sheli za Total pekee ndio kuna uwezekano mkubwa wa kupata Total Quartz 9000, maduka ya spea kw kawaida hayaweki bidhaa hii.
Synthetic - iliyotengezwa na binadam, ina maana oili imetengenezwa kw kutumia kemikali zilizobuniwa maabarani na kua na uwezo mkubwa wa kuhimili joto na hali zinginezo mle ndani ya engine.Shukran Mkuu nilibadili Jana ngoja niitazamie japo km 5000 ntaleta mrejesho,pia niliambiwa zipo bp castrol zenye kutembea km 7000 je material ni sawa yaani zina hiyo sythetic
Shukran Mkuu huu Uzi inabidi mod wautendee haki unajibu kitaalamu maana hata wenye pijo za urithi wakipata maelekezo hapa zitaamka,narudi Mkuu kwa maswali mengine usinichoke.Synthetic - iliyotengezwa na binadam, ina maana oili imetengenezwa kw kutumia kemikali zilizobuniwa maabarani na kua na uwezo mkubwa wa kuhimili joto na hali zinginezo mle ndani ya engine.
Utapata dum ya mafuta imeandikwa 1. Mineral oil: mafuta asilia ya petroli (petroleum oil) 2. Monograde oil: mafuta asilia ya petroli lakini yakiwa yameboreshwa kuhimili hali flani ya utendakazi 3. Multigrade oil: mafuta ya asilia yakiwa yameboreshwa kuhimili hali kadhaa tofauti za utendakazi 4. Semi-synthetic oil: mafuta ya asilia lakini yameongezwa kemikali au mafuta yaliotengenezwa na binadam na yenye ubora wa juu zaidi kuhimili hali za engine 5. Synthetic au Fully Synthetic oil: mafuta yasiotengenezwa au kua na mafuta asilia ndani yake.
Ukifika sheli, angalia paki ilivyoandikwa pale nyuma; ishara nyingine ni kilometa hadi service hua kw kawaida ni zaidi ya elfu saba.
Asante Bw Relis.Shukran Mkuu huu Uzi inabidi mod wautendee haki unajibu kitaalamu maana hata wenye pijo za urithi wakipata maelekezo hapa zitaamka,narudi Mkuu kwa maswali mengine usinichoke.
Shukran Mkuu ningependa kujua ni aina gani ya mafuta ya breki yanayofaa kwa gari zetu,wengine wanasema dot 4 wengine 3 ila sijajua kama yapo 2 na 1,je mazuri ni yapi kwa maisha ya vyombo vyetu? Maana nasikia mengine ukitumia yanaua raba zilizopo kwenye system ya breki ni kweli,shukran.Asante Bw Relis.
Nayakaribisha maswali, nia yangu kama fundi ni kumsaidia ndugu yangu kuzielewa machine na mifumo yake na sio kulinda 'siri'! Au vipi?
Muunda gari/chombo hua ameandika kwenye owner/operator manual au/na kwenye mfuniko wa chupa pale kw master cylinder. Ni muhimu kuzingatiaShukran Mkuu ningependa kujua ni aina gani ya mafuta ya breki yanayofaa kwa gari zetu,wengine wanasema dot 4 wengine 3 ila sijajua kama yapo 2 na 1,je mazuri ni yapi kwa maisha ya vyombo vyetu? Maana nasikia mengine ukitumia yanaua raba zilizopo kwenye system ya breki ni kweli,shukran.