Styvo254
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 246
- 227
- Thread starter
- #101
Bro, hapo hakuna sensor ila vacuum switch. Sio vifaa vyote viingiazo wire ni sensor. Hizo kw picha ni solenoid switch za kufunga/fungulia upepo/vacuum. Hua zinazingua mafundi kuziregesha kwani ukichanganya hizo pipe gari linachanganyikiwa pia!Mkuu mimi engine yangu ni 1mz V6,nimeambiwa sensor zilizopo kwenye hicho kifaa zimekufa,nipo tabora naomba msaada wako ni wapi naweza pata ufumbuzi wa tatizo hili.....ASANYEView attachment 736061View attachment 736063
Tupatane PM nikuelezee utakvyo fanya kubaini shida na hata kuitatua! Kwa malipo, ufahamu mapema!