Kwa matokeo haya naweza kuwa Tutorial Lecturer?

Joined
Mar 21, 2024
Posts
30
Reaction score
135
Wakuu salamu.
Nipo nachukua Bachelor of science with education hapa mlimani, na hii chini ni performance yangu, sasa nualizia for this performance can I be tutorial lecturer???

First semester 4.4 gpa
Second semester 4.4 gpa
Third semester 4.2 gpa
Fourth semester 4.2 gpa
Firth semester 3.8 gpa
Sixth semester (not yet)
 
Acha kupoteza muda kusoma
Unamjua na wizarani

Ingia mtaani, utajiri upo mtaani
 
Wakuu salamu.
Nipo nachukua Bachelor of science with education hapa mlimani, na hii chini ni performance yangu, sasa nualizia for this performance can I be tutorial lecturer???

First semester 4.4 gpa
Second semester 4.4 gpa
Third semester 4.2 gpa
Fourth semester 4.2 gpa
Firth semester 3.8 gpa
Sixth semester (not yet)
Inaonekana performance Yako Iko kwenye makaratasi kuliko kwenye akili, sasa uko chuo mwaka wa 3 umeshindwa kujua kitu kidgo namna hiyo?
 
Wakuu salamu.
Nipo nachukua Bachelor of science with education hapa mlimani, na hii chini ni performance yangu, sasa nualizia for this performance can I be tutorial lecturer???

First semester 4.4 gpa
Second semester 4.4 gpa
Third semester 4.2 gpa
Fourth semester 4.2 gpa
Firth semester 3.8 gpa
Sixth semester (not yet)
Ndio, endelea kukaza buti semester ya mwisho 🤝🤝
 
Tutorial lecturer

Ni umekosea au ndio ulichokusudia kuandika hicho?
 
Endelea kukomaa Utapata ila hizi Bsc with Ed. na Bsc in Ed zinavichujio chujio
 
Unashindwa hata kutafuta average GPA yako? Chukua GPA za miaka yote, jumlisha. Kisha gawanya kwa idadi ya semester.

Utapata Overall GPA.

Mostly, wanataka uwe na 3.8 GPA and above kwenye Undergraduate.

Ukimaliza wewe kasome Masters. Utafute GPA ya 4.0+. Utakuwa na uhakika zaidii.

Lakini zaidi uwe competent to deliver. Unakuwa na GPA mlima, ila uwezo wako wa kudeliver maarifa uliyonayo ni mdogo, hutopata kazi hiyo.

I once overheard the Minister of Education asserting that a GPA should not be the sole, obligatory requirement for someone to assume the role of a lecturer, or similar positions. Instead, the paramount criterion should be an individual's capacity to impart knowledge effectively.

Therefore, focus on honing your ability to communicate and share knowledge, rather than dedicating the majority of your time to fretting over your GPA.
 
I get it, thanks.
 
Back
Top Bottom