Kwa matokeo haya ya wajumbe wa NEC, kipo kitu nyuma ya Pazia, Mwenyekiti shtuka

kumbuka utamaduni wa mambuzi ni kuwa na mgombea mmoja awamu ya pili ktk uongozi wa urais hivyo kuwa kwao wengi 2025 hakuna impact yoyote
 
EQUATIONS SOLVED!, ndio maana ya mikutano ya namna hii, lengo ni kupima upepo, A. I, shall know how to solves this....!
 

CCM hailei vijana wenye uwezo wa ushindani wa kisiasa, bali waabudubu viongozi ili wapewe madaraka ya mbeleko. Ukitaka kuamini nisemayo tazama kwenye uchaguzi, CCM inategemea wizi wa kura tu ili kubaki madarakani. Kama ingekuwa na vijana madhubuti isingetemea mbeleko ya dola miaka yote.
 
Kwanza pole na ugonjwa wa ukabila. Pili NEC ni zaidi ya hao wajumbe 20. Tatu NEC siyo wapiga kura. Nne km ni suala la wasukuma wako wanne tu kati ya wajumbe 20 sawa na 20%. Ni Angela Mabula, Kasheku Joseph, Gwajima Joseph na nafikiri Mahenda Leonard ingawa sina uhahika na huyu bwana. Tano composition ya NEC ni kubwa sana nje ya hao wajumbe 20 ndugu. Hebu katibiwe huo ugonjwa utakufa kabla ya muda wako, hii nchi ni kubwa sana kahamasishe umoja na mshikamano. Halafu kwanini hamuoni aibu jukwaa hili ni wasukuma tu kati ya makabila 120? mna nini? mnajionaje? KWANINI HAMSTAARABIKI? NI KWELI JPM ALIHARIBU NCHI ILA HAITATOKEA TENA HATA BAADA YA WE KUFA SUBIRI WAJUKUU ZAKO KABURINI WATAKUELEZA HATATOKEA TENA RAIS MSUKUMA.
 
we kweli popoma, huyo mgombea wenu kwanza ni nani? Hiyo 75% unaota? Hapo 20% wasukuma.
 
Tushazoea figisu hizi,, mambo yataenda kama kawaida
 
Tangu lini kura zikaamua mshindi Chama cha Mambuzi?
Endelea kuota
 
Siasa za Tanzania ni bora ukashinda jukwaa la MMU kuliko hawa wanasiasa utajitia presha tu na kufa mapema for nothing
 
Nafurahi wamejua kosa walifanya kutaka kutuaminisha watz kuwa Magu alikuwa na mabaya pekee, Eti hakuenda jema hata moja!!!!

Wazee wameshajua hawana lao 2026.

Justice is coming,

God has remembered our nation Tanzania.

Amen.
 
Kwan Kuna mtu anaamini bado Samia anagombea 2025??


Niliwah waambia Mahali humu Ndani,. Nguvu kubwa ya JPM ipo nyuma inafanya kazi.

Dola ,Dola Dola ilifundishwa na JPM ni Namna gani ya kulipigisha hatua hili TAIFA.

Subiri, mwaka 2025 Kuna watu watashangazwaa.


Nyie simnaona wameanza kujifanya Γ³hooo 2025 ni Samiaaa, Γ³hooo tupitisheee ohoooo Hamna kama Samia ndan nje .


HAWATAKAA KUJA NAHILO AZIMIO LA MAKAMBA.!!
KAMWEEEEEEEE
 
tatizo la ushamba kila kitu sikuizi ni UKABILA UKABILA TU. ukishawagawa watu wanaotokea nchi na chama kimoja kwa misingi ya ukabila kama hivi unapata faida gani sasa?
huwezi kujenga hoja hadi uataje ukabila/kanda sijui na upuuzi gani
 
Marais bora nchi hii wamewahi toka kanda ya ziwa tu. Pwani wametoa wajanja wapigaji tu.
Namuheshimu sana mzee mwinyi kwa jinsi alivyokua anamsifu jpm. Mzee wetu sio mtu mbinafsi na amejaa busara kubwa.
Binafsi nafarijika kuona hawa wahuni hawajapenya wengi NEC. 2025 bila shaka tutaweza kupata mrithi wa Magufuli. Mtu mjamaa mwenye fikra za taifa kujitegemea sio kua ombaomba milele.
 
Huu ukabila haukubaliki watanzania!
a
 
Rais aliyekuwepo madarakani 2015 alishindwa kumuweka Rais aliyemtaka yeye
 
Kazi ipo !! Na Karma ipo pia. !! Tusubiri tuone !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…