Kwa matokeo haya ya wajumbe wa NEC, kipo kitu nyuma ya Pazia, Mwenyekiti shtuka

Mkuu umeua!! Akikujibu unitag, Niko pale
 
Nchi hii nakuapia hatokuja tokea tena Rais mwenye HAIBA ya yule Shetani. Rais mwongo, mwizi, muuaji na asiyejali Katiba. SAHAU kama ulivyosahau kunyonya ziwa la mama yako.
 
Nchi hii nakuapia hatokuja tokea tena Rais mwenye HAIBA ya yule Shetani. Rais mwongo, mwizi, muuaji na asiyejali Katiba. SAHAU kama ulivyosahau kunyonya ziwa la mama yako.
Mimba uliyodungwa na Magufuli utakufa nayo mbwa wewe.

Inaonekana alikubana kwenye kona na kukutatua marinda kwelikweli.
 
Nchi hii nakuapia hatokuja tokea tena Rais mwenye HAIBA ya yule Shetani. Rais mwongo, mwizi, muuaji na asiyejali Katiba. SAHAU kama ulivyosahau kunyonya ziwa la mama yako.

mshenzi ulaaniwe wewe katika maisha yako
 
Mimba uliyodungwa na Magufuli utakufa nayo mbwa wewe.

Inaonekana alikubana kwenye kona na kukutatua marinda kwelikweli.
Ukimgusa tu dikteta wa Chatolazima uone MISUKULE yake ikiteremka kwa ghadhabu
 
mshenzi ulaaniwe wewe katika maisha yako
Aliyelaaniwa ni Magufuli baada ya kuiba kura zote za uchaguzi wa Oktoba 2020 na ndiyo maana hakuvuka hata siku 120 AKAFARIKI. Kama unamuabudu basi kufa tukakuzike Chato
 
Aliyelaaniwa ni Magufuli baada ya kuiba kura zote za uchaguzi wa Oktoba 2020 na ndiyo maana hakuvuka hata siku 120 AKAFARIKI. Kama unamuabudu basi kufa tukakuzike Chato
Stuxnet inaonekana ulifirwa sana na Magufuli
 
Vipi luhaga Mpina ana hali Gani?
 
Wewe acha kuchanganya kanda ya ziwa na wasukuma maana kanda ya Ziwa siyo ya wasukuma tu. Naona labda wewe hujui kanda ya Ziwa. Nilipofika hapo kanda ya Ziwa na wasukuma nikaacha kusoma maana hujui kutofautisha usukumani na kanda ya ziwa siyo kila aliye kanda ya ziwa ni msukuma

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Ndio mzee hovyo makamba na jk kwenye hotuba zao walionesha kupanic sana
Kwani huyo Mzee alipokua Katibu mkuu wasukuma hawakuwepo? Kikwete mmempa Uenyekiti mara 2 hao wasukuma hawakuwepo ndio aje kununa sahivi?

Acheni ukabila usio na tija, tukienda kwa style hiyo wasukuma ni 17% ya population hivyo kura zao pekee haziwezi amua Rais hata siku Moja hivyo Bado wanahitaji ushirikiano na makabila mengine.
 
Jifunze kutofautisha mambo. Mimi natoka kanda ya ziwa lakini siyo msukuma, siyo kila anayetoka kanda ya ziwa ni msukuma

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Luhaga mpina walijua atakachowafanya ndiyo maana wakakata jina lake mapema sana.

Wanajua shughuli ya Mpina siyo ya kitoto
Hapana achana na taifa ila aligombea level ya mkoa matokeo vipi?

Mlikua mnamjaza sana humu ila nadhani umeona jinsi mwenyekiti ndio alpha na omega huko CCM. Akiamua ndio imeisha hiyo, 2025 Mpina atakua benchi kma Makonda au Hapi!!!

Alienda upinzani ajiandae kupewa kesi ya uhujumu uchumi mpka iishe ni 2031 anamkuta uchaguzi umeisha kitambo. Ndio akili zitamrudi
 
Mtoa mada na wewe ni wale wale msiotofautisha kati ya kanda ya ziwa na usukuma, siyo kila mtu wa kanda ya ziwa ni msukuma.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Wachaga ni % ngapi ya population?
 
Wachaga ni % ngapi ya population?
Sasa jiulize waliwezaje kupata 40% ya kura 2015? Ndio maana nikasema siasa ni zaidi ya Ukanda. Hata Chadema mnakiita Cha wachagga ila kura nyingi wanatoa Dar, Kigoma, Mbeya, Moro, Mwanza, Mara etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…