RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Ana ruhusiwaWengi wanasema physics hana D TCU hawatomruhusu kusoma sasa sijui una maoni gani kuhusu Hilo swala
HAKUNA CHUO CHOCHOTE ATAPA HATA KAMA NI VYUO BINAFSI.Aende TU vyuo vya Private hapo atapata
Sasa hapo ndo shida sijui utaratibu upoje hapo n yeye diploma anaona ngoja nzitoMaana hiyo E ya physics ni msala
Hapo physics ndo inamwangusha sioHAKUNA CHUO CHOCHOTE ATAPA HATA KAMA NI VYUO BINAFSI.
Hapo nmekupata ko akienda nje akirudi atatambuliwa vizuri bila shida yeyote baada ya kumaliza kusomaShida sio kupenda medicine shid ataimudu Kwa hayo matokeo KUPATA chuo itakua ngumu mno hata vya private unless ajaribu mwanza university au kairuki na aongee na admission officer direct akishindw hapo arudie kutumia cheti Cha o level asome clinical medicine japo na yenyewe IPO overloaded sana anaweza kusoma diploma ya RADIOLOGY PHYSIOTHERAPY au clinical optometry then akipata gpa above 3 anaend degree akishindw akasome nje vyuo km Kampala main campus Uganda au china anaweza kusoma MD
Inatakiwa kuanzia C kwenye Chimistry na C kwenye Biology.. Alafu Physics kuanzia D.. Usimpe moyo mwambie ukweli hapati kitu. Kwa PCB kupata hiyo marks ni mzembe kabisaHapo physics ndo inamwangusha sio
Kama ndoto yake ni kusoma kozi za afya basi kwa haya matokeo yake ni changamoto kidogo kupata kwa level ya degree! Kama anataka MD basi aanzie tu diploma, clinical officer!Habari dogo kamaliza form six PCB ufaulu wake ni phy -E,chem-D na bios-C,je anaweza kusoma afya Kwa vyuo vya serikali au binafsi?binafsi anapenda udaktari au ufamasia,ushauri afanyaje,nawasilisha
Inatakiwa kuanzia C kwenye Chimistry na C kwenye Biology.. Alafu Physics kuanzia D.. Usimpe moyo mwambie ukweli hapati kitu. Kwa PCB kupata hiyo marks ni mzembe kabisa
Naomba unisaidie vigezo vilivyopo TCU labda anaweza kupata mwogozoInatakiwa kuanzia C kwenye Chimistry na C kwenye Biology.. Alafu Physics kuanzia D.. Usimpe moyo mwambie ukweli hapati kitu. Kwa PCB kupata hiyo marks ni mzembe kabisa
Nmekupata vizuri asanteKama ndoto yake ni kusoma kozi za afya basi kwa haya matokeo yake ni changamoto kidogo kupata kwa level ya degree! Kama anataka MD basi aanzie tu diploma, clinical officer!
Huwa kuna mwongozo wa TCU unaonesha vigezo vyote vya kusoma kozi za degree, kwa hiyo aangalie huo mwongozo nafikiri atapata kozi zingine za afya za degree kulingana na ufaulu wake tofauti na degree ya medicine.
Pia kuna kozi zingine za afya (non clinical medicine) kama health management system nk ambazo wataalamu wake hawahusiki kutibu moja kwa moja lakini hufanya kazi kwenye sekta ya afya.
Kwa sasa kozi za afya zenye uhaba wa wataalamu ni radiology, dental, physiotherapy, occupational therapy nk ambazo kama anapenda achague mojwapo (aangalie vigezo vyao na ufaulu wake). Kwa hiyo kama anataka ajira mapema ni vyema akaangalia hizo pia.
Mwisho nafikiri anaweza akabahatisha baadhi ya kozi za degree hasa kwenye vyuo binafsi,,,, lakini aangalie vigezo vilivyopo kwenye mwongozo wa TCU, TCU guide book ya mwaka huu.
Kila lakheri.
Miaka hii divisoni 2 ya 12 nayo ni matokeo ya kutamba?Kwa nn unasema hivo kwamba division 2 ni kilaza,haifai kumjaji mtu hivyo sema yashatokea tufanyaje sasa
Ndio, akisoma nje akahitimu matokeo yake yataangalia na TCU na kisha kupatiwa verification certificate ili atambulike kwamba ni mtaalamu halali.Hapo nmekupata ko akienda nje akirudi atatambuliwa vizuri bila shida yeyote baada ya kumaliza kusoma
Au afanya application ulaya huko atapataAende kusoma private tu