Kwa matokeo ya Physics E, Chemistry D na Biology C anaweza kusoma lozi ya Afya kwa vyuo vya serikali au binafsi?

Kwa matokeo ya Physics E, Chemistry D na Biology C anaweza kusoma lozi ya Afya kwa vyuo vya serikali au binafsi?

Maarifa lazina yawe specific:-
1.law 2.Engineering etc
Hakuna course inayotoa maarifa yakila kitu chuo kikuu
Kwenye degree inayoongoza kwa ajira ni MD, Pharmacy,labs then nursing
Kwenye Diploma Nursing,CO,Labs,pharmacy
This is the game,you play or you perish
Wewe akili yako imekaa ki ajira ajira tuu, sio habari ya specific

Mtu akisoma kwa level ya Diploma, Degree au zaidi
anakuwa na ufahamu mkubwa wa mambo bila kujali kasomea nini. Tunategemea
ufahamu huo utamsaidi kwenye pambana na changamoto za maisha.

Unazungumzia ajira kwani walimu ajira azitoki? Jiulize
ni MD, CO au nurses wangapi wapo mtaani bila ajira na
kwa mwaka wahitimu wapya ni wangapi ? With your MD but
you can't think critically, au ndio narrow mind ya kukariri mambo.
 
Back
Top Bottom