Kwa matokeo ya Physics E, Chemistry D na Biology C anaweza kusoma lozi ya Afya kwa vyuo vya serikali au binafsi?

Screenshot_20240929-002503.png
Anapatia wapi hapa?
Inasema At least D in Physics ,chemistry na Biology alafu yeye ana E ya Physics
 
Namshauri asome degree nyingine asipoteze muda hiyo MD yenyewe haina
hadhi kama zamani. Asome Human Nutrition, Food Science and Technology
Health System Management, Health Information System, BSc in Microbiology
na nyingine.
 
😅ana kichaa uyo hana raha na mitihani alifanya yeye tatizo wana kesha usiku waki kalili badala ya kuelewa afu wana jiona wana somaaa kumbe wana poteza mda
 
Akienda Uganda labda afanye kazi hukohuko akirudi bongo aoneshe D ya physics ili asajiliwe kufanya kazi hapa nyumbani
Ni kweli kabisa huwezi kosa minimum requirements hapa utafute njia ya panda

Ukirudi unapaswa ufanye equivalence ya foreign certificate pale TCU, na ufanye
Internship kama hukuwa na vigezo vilivyokuwa vinataka usome hiyo program
hapa nchini itakula kwako.

Aachane na mambo ya White Coat Syndrome, ila kama anautaka sawa
huo udaktari anzie na diploma in Clinical Medicine au kama anaona safari
itakuwa ndefu asome Bachelor nyingine hata kama sio afya.
 
Duh kumbe alibaliki
View attachment 3109837Anapatia wapi hapa?
Inasema At least D in Physics ,chemistry na Biology alafu yeye ana E ya P

Namshauri asome degree nyingine asipoteze muda hiyo MD yenyewe haina
hadhi kama zamani. Asome Human Nutrition, Food Science and Technology
Health System Management, Health Information System, BSc in Microbiology
na nyingine.

Daktari gani ana E ya physics hata SUA kwenye udaktari wa mifugo hawakutaki
Hivi E na D inatofauti gani maana kwenye cheti chake zote wameandika ni principle pass,na zinawiano sawa,kwn E inaanzia ngapi na kuishia ngapi Kwa A level
 
Ni kweli kabisa huwezi kosa minimum requirements hapa utafute njia ya panda

Ukirudi unapaswa ufanye equivalence ya foreign certificate pale TCU, na ufanye
Internship kama hukuwa na vigezo vilivyokuwa vinataka usome hiyo program
hapa nchini itakula kwako.

Aachane na mambo ya White Coat Syndrome, ila kama anautaka sawa
huo udaktari anzie na diploma in Clinical Medicine au kama anaona safari
itakuwa ndefu asome Bachelor nyingine hata kama sio afya.
Naskia physics kwenye afya sio pana sana kama chemistry na biology,labda engineering ko labda akienda nje atakuwa vzr zaidi maana hata elimu ya nje itampa exposure zaidi na kujifunza maisha mengine
 
TCU ndio inaeleza hivyo. TCU imesema minimum requirement ni D ya
Physics wewe una rahisha any way nenda pesa si mnazo. Kama atafanya
kazi huko huko nje sio mbaya.
 
Namshauri asome degree nyingine asipoteze muda hiyo MD yenyewe haina
hadhi kama zamani. Asome Human Nutrition, Food Science and Technology
Health System Management, Health Information System, BSc in Microbiology
na nyingine.
Kua hizo zingine ndio zina hazi kuliko MD?........hakuna replacement ya MD
 
Nimemueleza asome apate maarifa sio ajira.. kwani MD kazi zipo? Hao MD wanao
hangaika kwenye vijiwe huwaoni.

Kwa sasa mtu asome apate maarifa sio kuweka mbele habari ya ajira.
Maarifa lazina yawe specific:-
1.law 2.Engineering etc
Hakuna course inayotoa maarifa yakila kitu chuo kikuu
Kwenye degree inayoongoza kwa ajira ni MD, Pharmacy,labs then nursing
Kwenye Diploma Nursing,CO,Labs,pharmacy
This is the game,you play or you perish
 
Back
Top Bottom