Kwa matokeo ya Physics E, Chemistry D na Biology C anaweza kusoma lozi ya Afya kwa vyuo vya serikali au binafsi?

Wewe akili yako imekaa ki ajira ajira tuu, sio habari ya specific

Mtu akisoma kwa level ya Diploma, Degree au zaidi
anakuwa na ufahamu mkubwa wa mambo bila kujali kasomea nini. Tunategemea
ufahamu huo utamsaidi kwenye pambana na changamoto za maisha.

Unazungumzia ajira kwani walimu ajira azitoki? Jiulize
ni MD, CO au nurses wangapi wapo mtaani bila ajira na
kwa mwaka wahitimu wapya ni wangapi ? With your MD but
you can't think critically, au ndio narrow mind ya kukariri mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…