Tatizo ni pale tunapoamua kulinganiisha siasa zetu na za USAIdadi kamili ya kura kwa wgombea wa Democrat, kulingana na Wikipedia ni kama ifuatavyo:
2008: Obama alipata kura milioni 69
2012: Obama alipata kura milioni 65
2016: Hillary alipata kura milioni 65
2020: Joe Biden alipata kura MILIONI 81
2024: Kamala Harris amepata kura milioni 66
Hii ya Joe Biden ya mwaka 2020 ni tofauti na zingine zote. 🤔
Mwaka 2020 uliibwa, period.
Huyo aliyeibiwa 2020 alikuwa naniUtamwibiaje mbabe wa vita
Sasa hapo siasa zetu ziko wapi? Hiyo ni mada yako mpya na haina uhusiano na mada yangu.Tatizo ni pale tunapoamua kulinganiisha siasa zetu na za USA
Kwani Mike Pence anasemaje sasa baada ya Trump kushinda?Mmezoea kuona ccm wanavyoiba kura sasa mmekariri tu kwamba kura zinaweza kuibwa pote.
Trump aliambiwa apeleke ushahidi mahakamani lkn alishindwa na Marekani hamna majaji wa kupokea maagizo kutoka juu kama ushahidi ungekuwepo angesikilizwa tu lkn ushindi wake wa sasa unadhihirisha wazi kwamba hakuna wizi wa kura Marekani.
Tume ya uchanguzi ya Marekani haina watu feki sampuli ya akina Mahela na wale majaji uchwara wanaotunukiwa ujaji kisa ni makada wa ccm.
NB: Aliyekuwa mgombea mwenza wa Trump wa wakati ule Bw. Mike Pence alikiri vema kwamba walishindwa kihalali na ndio maana alikataa kuunga mkono madai ya Trump.
Kupeleka wizi kwenye uchaguzi wa marekani ndo siasa zane zilipoSasa hapo siasa zetu ziko wapi? Hiyo ni mada yako mpya na haina uhusiano na mada yangu.
Au wewe huna habari kuwa kulikuwa na kubishaniwa matokeo ya uchaguzi wa USA mwaka 2020 wakati Joe Biden anaingia madarakani
Huo ndio ushahidi sio ?Idadi kamili ya kura kwa wgombea wa Democrat, kulingana na Wikipedia ni kama ifuatavyo:
2008: Obama alipata kura milioni 69
2012: Obama alipata kura milioni 65
2016: Hillary alipata kura milioni 65
2020: Joe Biden alipata kura MILIONI 81
2024: Kamala Harris amepata kura milioni 66
Hii ya Joe Biden ya mwaka 2020 ni tofauti na zingine zote. 🤔
Mwaka 2020 uliibwa, period.
Hizo hazichagui Rais ni electoral college votes ndio zenye nguvu hayo ni sawa na maoni tu. Inawezekana usipate hata kura moja lakini hawa jamaa 530+ wakakupa ushindi wa kura 270 ukawa Rais wa MarekaniIdadi kamili ya kura kwa wgombea wa Democrat, kulingana na Wikipedia ni kama ifuatavyo:
2008: Obama alipata kura milioni 69
2012: Obama alipata kura milioni 65
2016: Hillary alipata kura milioni 65
2020: Joe Biden alipata kura MILIONI 81
2024: Kamala Harris amepata kura milioni 66
Hii ya Joe Biden ya mwaka 2020 ni tofauti na zingine zote. 🤔
Mwaka 2020 uliibwa, period.
Hujui kitu wewe. Unajua maana ya winner-take- all? Na kwa ratiba hao wajumbe wa electral vote wanapiga lini? Soma hapa.Hizo hazichagui Rais ni electoral college votes ndio zenye nguvu hayo ni sawa na maoni tu. Inawezekana usipate hata kura moja lakini hawa jamaa 530+ wakakupa ushindi wa kura 270 ukawa Rais wa Marekani
Hauwezi kupata elctral votes hata Moja ikiwa hujashinda kwenye Jimbo lolote, kinachofanya mtu ashinde kwenye electro votes ni kishinda kwenye majimbo yenye electro votes nyingi kuliko mengine so anakua kimahesabu ya electro votes amemzidi mwenzie ingawa popular votes zinakua chache uwe unafuatilia vitu kwa undani kabla ya kusemaHizo hazichagui Rais ni electoral college votes ndio zenye nguvu hayo ni sawa na maoni tu. Inawezekana usipate hata kura moja lakini hawa jamaa 530+ wakakupa ushindi wa kura 270 ukawa Rais wa Marekani
Here are the total Republican vote counts for the last eight U.S. presidential elections:Idadi kamili ya kura kwa wgombea wa Democrat, kulingana na Wikipedia ni kama ifuatavyo:
2008: Obama alipata kura milioni 69
2012: Obama alipata kura milioni 65
2016: Hillary alipata kura milioni 65
2020: Joe Biden alipata kura MILIONI 81
2024: Kamala Harris amepata kura milioni 66
Hii ya Joe Biden ya mwaka 2020 ni tofauti na zingine zote. 🤔
Mwaka 2020 uliibwa, period.