Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
Waisrael wameshachoka maisha ya vita MPUMBAVU huyo
wewe ni msemaji wa serikali ya Israel?hata akiondoka, atakayekuja ataendelea kuwatandika waislam mpaka waache Ugaidi wa kipumbavu
Wafilisti mlianza fitina mda mrefu sana, MUNGU wa israel siyo allah, hilo taifa haliwezi kushindwa na mataifa yanayomwabudu allah.View attachment 3699967
Kwa matekeo yanayozidi kutiririka, mwisho wa Benjamin Netanyahu umekaribia. Sijui kama atatoboa kipindi hiki. Yetu macho. Kama atabwagwa kama hali inayovyonyesha, ataishia lupango soon. Upinzani unaongoza kwa viti 52 dhidi ya 50. Hapa, lazima vyama vya kiarabu kuamua nani ataongoza taifa hili la kigaidi chini ya Netanyahu.
No clear winner as Netanyahu and Eisenkot appear short of outright victory, exit polls suggest
Hiyo margin ni ndogo.Hapa, lazima vyama vya kiarabu kuamua nani ataongoza
mwisreili mweusi akiripoti kutoka kutoka tarafa ya MwamashilingiWafilisti mlianza fitina mda mrefu sana, MUNGU wa israel siyo allah, hilo taifa haliwezi kushindwa na mataifa yanayomwabudu allah.
Hilo ni Yaifa la MUNGU wa Ibrahimu, wa isaka na israel, siyo allah, MUNGU ninayemwabudu mimi ni MUNGU wa israel siyo wa wafilisti.mwisreili mweusi akiripoti kutoka kutoka tarafa ya Mwamashilingi
Nyani mweusi wa kizayuniHilo ni Yaifa la MUNGU wa Ibrahimu, wa isaka na israel, siyo allah, MUNGU ninayemwabudu mimi ni MUNGU wa israel siyo wa wafilisti.
Sawa mtoto allah😃
Ungejua huyo mpinzani wake ndio kichaa zaidi ungetulia tu.kuna sehemu amenukuliwa akisema Gaza haijapigwa vizuri bado.Waisrael wameshachoka maisha ya vita MPUMBAVU huyo
Acha kupotosha. Vijana wanataka mgombea wa more Far right. Yani wanataka kuongezeka kwa territory ya Israel. Wewe Baki hapo. Bora hata Nentanyahu.Vijana wengi wamewapigia kura wapinzani wa Netanyahu kwa sababu hawataki kwenda jeshini kwa lazima.
Kwa kawaida ni miaka miwili kwa kila kijana kwa mujibu wa sheria lakini Bibi alitaka kwenda mbali zaidi kuongeza ukubwa wa jeshi.
Netanyahu alikuwa na mpango wa kukusanya vijana wote wenye umri wa miaka 19 kwenda jeshini na kuwatayarisha kwa vita.
Kwa kukataa kwao hiyo mobilisation, vijana hao wametokea sehemu mbalimbali duniani kwenda Israeli kumshughulikia Netanyahu kupitia sanduku la kura.
Hiyo ndo demokrasia ya kweli na muathirika namba moja wa kushindwa kwa Netanyahu atakuwa si mwingine bali Donald Trump.
Anaweza kuondoka netanyau,akaja kiongozi ambaye atachukiwa zaidi,I thought so!...Kwa matekeo yanayozidi kutiririka, mwisho wa Benjamin Netanyahu umekaribia. Sijui kama atatoboa kipindi hiki. Yetu macho. Kama atabwagwa kama hali inayovyonyesha, ataishia lupango soon. Upinzani unaongoza kwa viti 52 dhidi ya 50. Hapa, lazima vyama vya kiarabu kuamua nani ataongoza taifa hili la kigaidi chini ya Netanyahu.
No clear winner as Netanyahu and Eisenkot appear short of outright victory, exit polls suggest