Kwa matokeo yanayozidi kutiririka, mwisho wa Benjamin Netanyahu umekaribia

Kwa matokeo yanayozidi kutiririka, mwisho wa Benjamin Netanyahu umekaribia

Wafilisti mlianza fitina mda mrefu sana, MUNGU wa israel siyo allah, hilo taifa haliwezi kushindwa na mataifa yanayomwabudu allah.
Mungu wa Israel ni yupi?

Au ni yule waliyemsulubu msalabani?
Unajua kua wakristo Israel ni 1.9% tu?
Waislamu ni 18.1%

Nyie wayahudi weusi wa Simiyu hivi ni nani aliye waroga na kuamini kua Wayahudi ni wakristo wenzenu?
Unashabikia watu waliomsulubu yule Mungu wako? hizi ni akili za wapi?
 
Unaota ww chuma kitashinda kwa kishindo. Usie mpenda atabakia kwenye mjengo.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hatimae machoko yamepata haki zao baada ya kufiwa na waume zao vitani.
 

Attachments

  • Screenshot_20240918_193446_Chrome.jpg
    Screenshot_20240918_193446_Chrome.jpg
    271.2 KB · Views: 4
Netanyahu ni gaidi namba moja ulimwenguni ndiyo maana Waisraeli wengi wanamkataa kwenye sanduku la kura.

Angekuwa anawafurahisha Waisraeli basi angekuwa anaongoza kwa idadi kubwa ya kura.
Kuna baadhi ya wabongo wanshangaza sana,

Natanyahu ana ICC arrest warant kwa mauaji aliyo yafanya,halafu unakuta myahudi mweusi wa huko Simiyu na Nzega anamshabikia huyo Natanyahu,wakati huo huo huyo yahudi mweusi wa Simiyu anaitaka ICC hiyo hiyo ishughulike na matatizo ya kwenye nchi yake yaliyo tokea October 2025.
 
Kushindwa kwa Netanyahu hakutabadili kitu. Huwenda atakayekuja akawa katili kuliko Netanyahu. Kwasababu Israel haiendeshwi na matakwa ama demokrasia ya raia bali inaongozwa na matakwa ama utashi wa deep state.
Japo yeyote atakayekuja asiichokoze Iran. Heheeheh maaja hata huyu Einskort anadai tuna nukes itumike Iran. Weeeeh hiko kitu Israel itafanywa dunia haijawahi ona.
 
Wafilisti mlianza fitina mda mrefu sana, MUNGU wa israel siyo allah, hilo taifa haliwezi kushindwa na mataifa yanayomwabudu allah.
ni fala gani huyo ndo mungu wa israel ambaye ni zaidi ya yule aliyeumba dunia na adamu ake kwa siku 7?
 
Kushindwa kwa Netanyahu hakutabadili kitu. Huwenda atakayekuja akawa katili kuliko Netanyahu. Kwasababu Israel haiendeshwi na matakwa ama demokrasia ya raia bali inaongozwa na matakwa ama utashi wa deep state.
Japo yeyote atakayekuja asiichokoze Iran. Heheeheh maaja hata huyu Einskort anadai tuna nukes itumike Iran. Weeeeh hiko kitu Israel itafanywa dunia haijawahi ona.
tunachotaka kibabu kiwekwe kolokoloni kawaibia sana waisraeli mpoland yule
 
HUyo Mpinzani anasema ataimaliza Hamas ndani ya miezi 18.
 

Attachments

  • Screenshot_20261028_120200_Google.jpg
    Screenshot_20261028_120200_Google.jpg
    266.3 KB · Views: 3
tunachotaka kibabu kiwekwe kolokoloni kawaibia sana waisraeli mpoland yule
Hata mie natamani kitokee hilo ila daaah yule jamaa back up yake sio ya dunia hii. Unadhani ni mara ngapi kakwepa hukumu?? Umeshasahau hadi kile kipindi wakamuweka waziri mkuu wa mpito!? Ila jamaa kesi zikafutiliwa mbali na akarudi uongozini.
 
Back
Top Bottom