Kwa matokeo yanayozidi kutiririka, mwisho wa Benjamin Netanyahu umekaribia

HUyo Mpinzani anasema ataimaliza Hamas ndani ya miezi 18.
Kelele za chura hizo. Unajua uongozi ni kama draft. Ukiwa nje unaona ila ingia ndani sasa! Hakuna kitu atafanya huyo. Hususan kwa Iran ndio akienda vibaya ataiteketeza Israel yote kwa mikono yake.
 
Kwa matokeo yanayozidi kutiririka, mwisho wa Benjamin Netanyahu umekaribia. Sijui kama atatoboa kipindi hiki. Yetu macho. Kama atabwagwa kama hali inayovyonyesha, ataishia lupango soon.

Upinzani unaongoza kwa viti 52 dhidi ya 50

Hapa, lazima vyama vya kiarabu kuamua nani ataongoza taifa hili la kigaidi chini ya Netanyahu.

No clear winner as Netanyahu and Eisenkot appear short of outright victory, exit polls suggest
54 Netanyahu
49 mpinzani wake
 
Na Jamaa walivyo waziri mkuu wanaweka Yule mwenye historia ya kijeshi, wanaweka Wana usalama ndio kiongozi mkuu, wanaweka makomando wa zamani ndio kiongozi, Yaani ni bandika bandua...Ni mawaziri wakuu wachache Sana ambao hawakuhudumu kikamilifu jeshini au kwenye intelligence units nyingine, probably hata kina Golda Meir alikuwa Mossad...
 
Kwa matokeo yanayozidi kutiririka, mwisho wa Benjamin Netanyahu umekaribia. Sijui kama atatoboa kipindi hiki. Yetu macho. Kama atabwagwa kama hali inayovyonyesha, ataishia lupango soon.

Upinzani unaongoza kwa viti 52 dhidi ya 50

Hapa, lazima vyama vya kiarabu kuamua nani ataongoza taifa hili la kigaidi chini ya Netanyahu.

No clear winner as Netanyahu and Eisenkot appear short of outright victory, exit polls suggest
Screenshot_2026-10-28-15-07-21-845_com.instagram.android.jpg
 
wewe ni msemaji wa serikali ya Israel?
Unadhani kila muisrael ana akili ya kijinga kama netanyahu?
Uliona maaandamano ya kumpinga?
Yaani yeye tangu aingie madarakani anawaza kuwa tu watu nani anapenda?
Wangekuwa wanapenda waisrael wangemchagua tena.
Wameanza kuelimika
Yani ikitokea bibi katoka hahahaha anayekuja anawakata vilimi kabisa
 
Wewe unadhani waisrael wanapenda kila siku kusikia milionya mabomu.yaani wakilala mabomu,wakila mabomu,wakiamka mabomu hata wewe mtu kama huyo ungemchagua?
Mnaishi roho mkononi kisa mtu mmoja.vita vyenyewe anavyoanzisha hata havieleweki.
 
Haya bibi kashashinda hali ikoje huko?
 
Kwa matokeo yanayozidi kutiririka, mwisho wa Benjamin Netanyahu umekaribia. Sijui kama atatoboa kipindi hiki. Yetu macho. Kama atabwagwa kama hali inayovyonyesha, ataishia lupango soon.

Upinzani unaongoza kwa viti 52 dhidi ya 50

Hapa, lazima vyama vya kiarabu kuamua nani ataongoza taifa hili la kigaidi chini ya Netanyahu.

No clear winner as Netanyahu and Eisenkot appear short of outright victory, exit polls suggest
Unasema?
 
Ila kama hawatashinda binafsi ntawa miss
1: Benjamin Netanyahu
2: Israel Katz
3: Bezalel Smotrich
4: Itamar Ben-Gvir
Hawa wahuni wana roho mbaya sijawahi kuona.
 
Hadi sasa uwezekano wa Netanyahu kushinda ni mkubwa.
 
Back
Top Bottom