Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Hamas wao hawajachoka vita, Acha walale tena yake ya Oct 7 yatarudi tena.Waisrael wameshachoka maisha ya vita MPUMBAVU huyo
Hamas wao hawajachoka vita, Acha walale tena yake ya Oct 7 yatarudi tena.Waisrael wameshachoka maisha ya vita MPUMBAVU huyo
Huyo mwingine ndio katili zaidi kwa mujibu wa kauli zake.Waisrael wameshachoka maisha ya vita MPUMBAVU huyo
Waisrael wameshachoka maisha ya vita MPUMBAVU huyo
Acha kupotosha. Vijana wanataka mgombea wa more Far right. Yani wanataka kuongezeka kwa territory ya Israel. Wewe Baki hapo. Bora hata Nentanyahu.
Kwa Israel hii,ni kujidanganya kwamba wanabadilisha uongozi.Anayeingia ni hatari kuliko anayetoka.Maandalizi ya kisaikilojia yanahitajika.Kwa matekeo yanayozidi kutiririka, mwisho wa Benjamin Netanyahu umekaribia. Sijui kama atatoboa kipindi hiki. Yetu macho. Kama atabwagwa kama hali inayovyonyesha, ataishia lupango soon. Upinzani unaongoza kwa viti 52 dhidi ya 50. Hapa, lazima vyama vya kiarabu kuamua nani ataongoza taifa hili la kigaidi chini ya Netanyahu.
No clear winner as Netanyahu and Eisenkot appear short of outright victory, exit polls suggest
Fuatilieni mambo kabla ya kukulupuka kucomment, huyo mpinzani wa Benjamini ana msimamo mkali dhidi ya wapalestina na Muslim jihad kuliko mnavyodhani.
Amenukuliwa hivi karibuni akisema akishinda tu siku zake za mwanzoni kabisa ni kuhakikisha hakuna Hamas hata mmoja atakae salia pale Gaza.
Sasa nyie mshangilieni tu baadae mtalia na kusaga meno
Mjomba huu upendo na Makafir ya Kiyaudi umeanza lini?wewe ni msemaji wa serikali ya Israel?
Unadhani kila muisrael ana akili ya kijinga kama netanyahu?
Uliona maaandamano ya kumpinga?
Yaani yeye tangu aingie madarakani anawaza kuwa tu watu nani anapenda?
Wangekuwa wanapenda waisrael wangemchagua tena.
Wameanza kuelimika
Waisrael wameamka .hawataki maisha yao kila siku vita.hawalali.Mjomba huu upendo na Makafir ya Kiyaudi umeanza lini?
Unajua sababu za netanyahu kupingwa chini?nchi kila siku haitulii ipo vitani.wamechokaHa ha ha.... Unadhani atakayekuja Waisrael wakichokozwa atabembeleza. Huwajui. Kipigo kitatolewa tu. Maana naona kama tunashangilia sana aondoke. Najua kile kitendo cha kumwua hayatollah kama panya kimetraumatize watu wengi sana. But hawa Wayahudi wakichokozwa ni jino kwa jino.
Hayo ndio mambo napenda kuyasikia.Huyo mwingine ndio katili zaidi kwa mujibu wa kauli zake.
Moja ya kauli zake ni hizi
1. Netanyahu ni dhaifu ameshindwa kuisagasaga gaza
3. Israel ina nyuklia..hizi inatakiwa tukazitumie kuangamiza milima ya irani yalikofichwa makombola
Huyo mshenzi wenu Hana nafasi.Hamas wao hawajachoka vita, Acha walale tena yake ya Oct 7 yatarudi tena.
Makobas ni wakina nanMakobazi mnashangilia nini?
Ila waislam tukiwa tunatandikwa kwakua tunapinga mnavyo firana na kusagana hua munafuraaahihata akiondoka, atakayekuja ataendelea kuwatandika waislam mpaka waache Ugaidi wa kipumbavu