Kwa matokeo yanayozidi kutiririka, mwisho wa Benjamin Netanyahu umekaribia

HUyo Mpinzani anasema ataimaliza Hamas ndani ya miezi 18.
Kelele za chura hizo. Unajua uongozi ni kama draft. Ukiwa nje unaona ila ingia ndani sasa! Hakuna kitu atafanya huyo. Hususan kwa Iran ndio akienda vibaya ataiteketeza Israel yote kwa mikono yake.
 
54 Netanyahu
49 mpinzani wake
 
Na Jamaa walivyo waziri mkuu wanaweka Yule mwenye historia ya kijeshi, wanaweka Wana usalama ndio kiongozi mkuu, wanaweka makomando wa zamani ndio kiongozi, Yaani ni bandika bandua...Ni mawaziri wakuu wachache Sana ambao hawakuhudumu kikamilifu jeshini au kwenye intelligence units nyingine, probably hata kina Golda Meir alikuwa Mossad...
 
Yani ikitokea bibi katoka hahahaha anayekuja anawakata vilimi kabisa
 
Yani ikitokea bibi katoka hahahaha anayekuja anawakata vilimi kabisa
Wewe unadhani waisrael wanapenda kila siku kusikia milionya mabomu.yaani wakilala mabomu,wakila mabomu,wakiamka mabomu hata wewe mtu kama huyo ungemchagua?
Mnaishi roho mkononi kisa mtu mmoja.vita vyenyewe anavyoanzisha hata havieleweki.
 
Haya bibi kashashinda hali ikoje huko?
 
Unasema?
 
Ila kama hawatashinda binafsi ntawa miss
1: Benjamin Netanyahu
2: Israel Katz
3: Bezalel Smotrich
4: Itamar Ben-Gvir
Hawa wahuni wana roho mbaya sijawahi kuona.
 
Ila kama hawatashinda binafsi ntawa miss
1: Benjamin Netanyahu
2: Israel Katz
3: Bezalel Smotrich
4: Itamar Ben-Gvir
Hawa wahuni wana roho mbaya sijawahi kuona.
Hadi sasa uwezekano wa Netanyahu kushinda ni mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…