Olaigwanani lang
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 547
- 181
IGP wa TANZANIA ni KADA hivyo KUJIUZULU ni NGUMU SANANdugu zangu, watanzania na wana jf wenzangu, Matukio mfululizo ya aibu yanayoendelea dhidi ya jeshi la polisi Tunashangaa kumuona IGP akiendelea kuwa ofisini,ni vema sasa ndugu zake ama waliopo karibu naye kumueleza wazi kubwa hapaswi kuwa katika nafasi hiyo
Uko sahihi, IGP anateuliwa na Rais.Unasahau kuwa yupo aliyemchagua
Wewe ni muongo wa kupitiliza.Hawezi kujiuzulu maana alitumiwa yeye na jeshi la polisi kuuweka utawala huu madarakani. Atajiuzulu iwapo tu rais atampigia magoti tena nyuma ya pazia, huku akimuahidi kiinua mgongo cha kufuru. Hilo jeshi la polisi linaweza kufanya uhalifu wowote na wakachukuliwa hatua kwa mtindo wa funika kombe mwanaharamu apite.
Wewe ni muongo wa kupitiliza.