Pre GE2025 Kwa mawe aliyokuwa anarusha Tundu Lissu leo Ikungi, imebidi tu wakate mtandao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Lord denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
15,819
Reaction score
33,255
Huyu Tundu Lissu ni mtu wa hatari sana.

Nilikuwa naangqlia live anavyochambua hoja kwa hoja kuwaelezea Watanzania kwa nini wanasema No Reform No Election.

Nonso alizokuwa anatema Lissu hata uwe kilaza wa mwisho lazima utamwelewa. Alikuwa anatoa na takwimu sahihi bila kusoma popote.

Naona Simu itakuwa imetoka Addis kumwambia pedeshee wa TCRA akatw mtandao watu wasiendelee kula madini live

Kweli CCM maji ya shingoπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mawe gani na wewe zile sio pamba za mbeya kweli ?
 
Au pamba ya Mwanza?
 
Unapenda kujitekenya na kucheka mwenyewe usije ukajikojolea tu.
 
Nimebahatika kumsikiliza, HAKIKA ametoa Elimu mujarabu kabisa tena kwa Lugha rahisi..

Ni jukumu sasa kwa CHADEMA Media kuifikisha kwenye platform mbalimbali kama X, facebook, Tik tok ili watu waelimike

Kuingia uchaguzi huu wa 2025 kwa Mazingira haya ni kuruhusu UUAJI, UTEKAJi, KESI FEKI kwa Wapinzani, ENGUA KWA WAPINZANI
 
Madini ambayo umeshindwa kuyaandika humu. Kwa kifupi, Lissu atakuwa kwa stress Kali sana. Subiri baada ya Oktoba, 2025 baada ya Uchaguzi Mkuu.
 
Sema kweli! Ila watakuteka!
 
Iwapo elimu anayoitoa TAL ,ataendelea kuitoa nchi nzima,mjini na vijijini, Kuna dalili elimu hii,ikaiondoa CCM madarakani 2030.
TUNDU LISSU ni moto wa kuotea mbali...hii nchi ingekuwa na kina TUNDU LISSU kama watano ingechangamka sana ila ndio ivyo tena imejaa kina juma lokole na kina James delicious....HATARI SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…