Pre GE2025 Kwa mawe aliyokuwa anarusha Tundu Lissu leo Ikungi, imebidi tu wakate mtandao

Pre GE2025 Kwa mawe aliyokuwa anarusha Tundu Lissu leo Ikungi, imebidi tu wakate mtandao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu Tundu Lissu ni mtu wa hatari sana.

Nilikuwa naangqlia live anavyochambua hoja kwa hoja kuwaelezea Watanzania kwa nini wanasema No Reform No Election.

Nonso alizokuwa anatema Lissu hata uwe kilaza wa mwisho lazima utamwelewa. Alikuwa anatoa na takwimu sahihi bila kusoma popote.

Naona Simu itakuwa imetoka Addis kumwambia pedeshee wa TCRA akatw mtandao watu wasiendelee kula madini live

Kweli CCM maji ya shingo😅😅😅😅
Nobody can stop reggae

Nobody can stop elections
 
Huyu Tundu Lissu ni mtu wa hatari sana.

Nilikuwa naangqlia live anavyochambua hoja kwa hoja kuwaelezea Watanzania kwa nini wanasema No Reform No Election.

Nonso alizokuwa anatema Lissu hata uwe kilaza wa mwisho lazima utamwelewa. Alikuwa anatoa na takwimu sahihi bila kusoma popote.

Naona Simu itakuwa imetoka Addis kumwambia pedeshee wa TCRA akatw mtandao watu wasiendelee kula madini live

Kweli CCM maji ya shingo😅😅😅😅
Wasiyempenda kaja😄😄😄
 
Wasiyempenda kaja😄😄😄
Adui mkubwa wa Tanzania ni siasa

And we fall into the same trap

Come January 2026 Mtakua mnalalama tu Kwa ushabiki

Lissu can’t shake the bridge because wale wazungu kule kwao wameamua kufocus on their deed
 
TUNDU LISSU ni moto wa kuotea mbali...hii nchi ingekuwa na kina TUNDU LISSU kama watano ingechangamka sana ila ndio ivyo tena imejaa kina juma lokole na kina James delicious....HATARI SANA
Huwa najiuliza sana nashindwa kupata jibu. Hivi CCM kwa wingi wao na ukubwa na ukongwe wa chama chao, kumekosekana watu wenye utimamu wa kujua nchi inaelekea kubaya wakadai mabadiliko? Wote mmekubali kuwa sehemu ya historia ya angulo la nchi kisa tu ni maslahi ya muda mfupi wanayoyapata?
 
Back
Top Bottom