Kwa Mazingira haya Tata na ninavyoujua Mpira wa Bongo ulivyo Azam FC ameshafungwa mapema tu na Yanga SC Krismasi

Kwahyo dereva na uyo kaimu afisa habari ambao unasema ni wanayanga watacheza siku hiyo uwanjani?
 
Ubora wa Yanga ndo utakaoleta ushindi
Mkuu itakua wewe ni mgeni wa huyu Popoma hasa kwenye threads kama hizi. Hii comment yako iko sahihi ila sio anachokitaka mleta mada. Wewe inabidi ukubaliane naye tu maana hakuna point zaidi mtabishana huku akikuaminisha yeye ndio analijua soka la bongo.

Kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Wao Makolo ndio wanahaki ya kushinda mechi zote na wao hawana watu kwenye timu nyingine wa kuwafanyia figisu
 
Jamaa una kelele sana kuhusu Yanga.. Hv Mashabiki wote wa Yanga ndo mna mambo za kisenge kama hizi.. Wewe Kila mda Yanga tu kwani umeolewa na Yanga wee
 
Genta in one and two

Dj lete mods wapitishe ban tena
 
Ila mwenye timu barkresa ni SIMBA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…