Kwa Mazingira niliyokutana na huyu binti sikuamini kama atakuwa hivi

Nimeshangaa ndiyo tena sana
Nikiimanisha Wana imani Kali kwasababu Wanaamini Sana kwenye dini yao ya kislamu hawapo tayari kuruhusu binti yao aolewe na mtu wa dini tofauti na kwao japo binti yao kazama na kaoza kabisa kwangu kiasi ambacho huyo binti yupo will kubadilisha dini kwa sababu yangu lakini kikwazo kimeendelea kubakia kwa upande wa familia yake
 
Mi nilidhani umemuokota mazingira ya majalalani so hukuamini mbususu yake ulivyoikuta ze vere vere wandafulu na tabia yake ni tofauti na mazingila ulomkuta
Pongezi kwa kupata chombo bora
Ila uwe makini anaonekana ana maamuzi magumu ukitibua unamwagwa fasta
Anaanza kutafuta kipya kitakacho endana na maitaji yake
 
uwe makini anaonekana ana maamuzi magumu ukitibua unamwagwa fasta
Na ulichokisema ni kweli kabisa kuna sakata fulani lilitokea so ikasababisha aniache kama siku mbili hivi kwangu niliona ni kama mwezi sikuwa na Amani nilivurugwa kisawasawa ila nilimuomba msamaha kupitia message, nilimuandikia hatua kabisa na nikaprint nikamtumia whasapp sikuishia tu hapo baada ya kuona message zangu ajibu ikabidi nimtumia video niliyorecord ya msamaha kwa ajili yake na nikiwa nimepiga magoti nikamtumia whasapp pia baada siku mbili kupita wakati narudi home nikamkuta yupo ndani na amenishanisamehe sikuamini macho yangu nikafurahi sana
 
Bila shaka wewe utakua Muha au chinga na umekutana demu Mmakonde,Mnyaturu au Mrangi.
 
Bila shaka wewe utakua Muha au chinga na umekutana demu Mmakonde,Mnyaturu au Mrangi.
Mimi ni mchaga ila mzee baba kwenye haya masuala kabila aliongezi kitu kwa baadhi ya watu mfano mimi japo ni mchaga ila sijui kichaga kabisa hata baadhi ya mila zao kwasababu nimekulia Dar na ndipo nilipozaliwa
 
Sheria za nchi zinasema ukiishi na mwanamke kwenye mahusiano inayofikia mwaka tayari anakuwa mke wako
Acha uongo wako
Weka hicho kifungu hapa
Unataka kuhalalisha uzinzi wenu hapa
Huyo sio mke
Ni mzinzi mwenzako
 
Huyo jitwishe kimoja mdogoangu. Huyo ni wife material. Dini nini siku hizi anabadiri tu fasta.
 
Naona mwamba unanipiga na kitu kizito
Mkuu mimi nipo opening
Ndoa ni taasisi nzito sana
Kama huamim huyo mzinzi mwenzako unae muita mke
Nenda kafunge nae ndoa ndiyo ujue mziki wake ulivo sasa hiv hawez kuonesha makucha yake we funga ndoa halafu mpewe vile vyeti kila mtu chake ndiyo utajua hujui
Kazi kwako
 
Unataka kuniambia ananiigizia mtu ambaye ninaishi nae imepita mwaka sasa ebu bro kuwa serious
 
Ishi kama mke na mume na kila mmoja afuate dini yake mbona kawaida sana hio muache aabudu dini yake, usile misosi kibudu na kitimoto usile kbsa, Mungu habadiliki tatizo huwa ni uzuzu wetu tu.
 
Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…