Kwa Mazingira niliyokutana na huyu binti sikuamini kama atakuwa hivi

Kwa Mazingira niliyokutana na huyu binti sikuamini kama atakuwa hivi

Nimeshangaa ndiyo tena sana
Nikiimanisha Wana imani Kali kwasababu Wanaamini Sana kwenye dini yao ya kislamu hawapo tayari kuruhusu binti yao aolewe na mtu wa dini tofauti na kwao japo binti yao kazama na kaoza kabisa kwangu kiasi ambacho huyo binti yupo will kubadilisha dini kwa sababu yangu lakini kikwazo kimeendelea kubakia kwa upande wa familia yake
 
Mi nilidhani umemuokota mazingira ya majalalani so hukuamini mbususu yake ulivyoikuta ze vere vere wandafulu na tabia yake ni tofauti na mazingila ulomkuta
Pongezi kwa kupata chombo bora
Ila uwe makini anaonekana ana maamuzi magumu ukitibua unamwagwa fasta
Anaanza kutafuta kipya kitakacho endana na maitaji yake
 
uwe makini anaonekana ana maamuzi magumu ukitibua unamwagwa fasta
Na ulichokisema ni kweli kabisa kuna sakata fulani lilitokea so ikasababisha aniache kama siku mbili hivi kwangu niliona ni kama mwezi sikuwa na Amani nilivurugwa kisawasawa ila nilimuomba msamaha kupitia message, nilimuandikia hatua kabisa na nikaprint nikamtumia whasapp sikuishia tu hapo baada ya kuona message zangu ajibu ikabidi nimtumia video niliyorecord ya msamaha kwa ajili yake na nikiwa nimepiga magoti nikamtumia whasapp pia baada siku mbili kupita wakati narudi home nikamkuta yupo ndani na amenishanisamehe sikuamini macho yangu nikafurahi sana
 
Bila shaka wewe utakua Muha au chinga na umekutana demu Mmakonde,Mnyaturu au Mrangi.
 
Bila shaka wewe utakua Muha au chinga na umekutana demu Mmakonde,Mnyaturu au Mrangi.
Mimi ni mchaga ila mzee baba kwenye haya masuala kabila aliongezi kitu kwa baadhi ya watu mfano mimi japo ni mchaga ila sijui kichaga kabisa hata baadhi ya mila zao kwasababu nimekulia Dar na ndipo nilipozaliwa
 
Sheria za nchi zinasema ukiishi na mwanamke kwenye mahusiano inayofikia mwaka tayari anakuwa mke wako
Acha uongo wako
Weka hicho kifungu hapa
Unataka kuhalalisha uzinzi wenu hapa
Huyo sio mke
Ni mzinzi mwenzako
 
Huyo jitwishe kimoja mdogoangu. Huyo ni wife material. Dini nini siku hizi anabadiri tu fasta.
 
Naona mwamba unanipiga na kitu kizito
Mkuu mimi nipo opening
Ndoa ni taasisi nzito sana
Kama huamim huyo mzinzi mwenzako unae muita mke
Nenda kafunge nae ndoa ndiyo ujue mziki wake ulivo sasa hiv hawez kuonesha makucha yake we funga ndoa halafu mpewe vile vyeti kila mtu chake ndiyo utajua hujui
Kazi kwako
 
Mkuu mimi nipo opening
Ndoa ni taasisi nzito sana
Kama huamim huyo mzinzi mwenzako unae muita mke
Nenda kafunge nae ndoa ndiyo ujue mziki wake ulivo sasa hiv hawez kuonesha makucha yake we funga ndoa halafu mpewe vile vyeti kila mtu chake ndiyo utajua hujui
Kazi kwako
Unataka kuniambia ananiigizia mtu ambaye ninaishi nae imepita mwaka sasa ebu bro kuwa serious
 
Ishi kama mke na mume na kila mmoja afuate dini yake mbona kawaida sana hio muache aabudu dini yake, usile misosi kibudu na kitimoto usile kbsa, Mungu habadiliki tatizo huwa ni uzuzu wetu tu.
 
Habari wanajf

Nduguzanguni nilipitia mahusiano ambayo yalinipa stress Sana drama zilikuwa haziishi kutokana na hivyo ikanifanya niachane na huyo binti na ikapelekea nijipe break kidogo ya mahusiano.
Ilinichukua miezi 6 bila kuwa na mahusiano wala kufanya mapenzi.

kama binadamu wengine nikawa nina nyege na ukizingatia nipo single nyege zangu zikanipelekea niwe na wazo lakuomba mzigo siku moja hiyo hiyo kwa demu yoyote.Wakati napita zangu nikamuona binti mkali kutokana na uzuri wenye viwango vya 4k kwenye akili ya kawaida nikawaza ninaweza kutoswa lakini nikajaribu bahati nikamwita demu akaitika nikamuomba niongee naye demu akanisikiliza kwenye Hili lazima uwe na technique nikaongea naye Sana na kuna maswali akaniuliza me nikamjibu vizuri the end demu akanikubalia yaani sikuamini macho yangu ila akaniambia tusifanye leo kuna sehemu anaenda akasema nimpe no yangu atanicheki kesho sawa nami nikampa, kitu ambacho kinishangaza zaidi demu akunipa hata condition labda nitoe hela kama msemo wa mademu wa sasa hakuna mbususu ya bure Tena hiyo ulikuwa j'5.

Kesho Alhamisi ikafika nilisubiri mpaka inaenda saa 11 Jioni demu hajanipigia na nikajaribu kupiga simu inaita lakini haipokelewi nikajiongeza hapa nimepigwa changa la macho ilivyofika saa 1 usiku yule demu akanipigia Tena hapo nilikuwa nimekata tamaa nikapokea akaniambia nipo wapi nije duh nilifurahi Sana na hapo hakuniomba hela yeyote hata nauli.

Wakati namsubiria manzi ikabidi niwashilikishe baadhi ya wadau wangu kwenye Hili kuanzia mwanzo mpaka mwisho wengi wao wakaniambia hapo kuna namna haiwezekani demu akupe mbususu bure Tena hakujui may be ana ukimwi anatafuta mtu wakufanae wakanishauri Cha msingi kabla ujafanya naye kapime nae.


Baada ya muda kupita demu akafika nikamchukua stendi nikamwambia ni vizuri tupitie sehemu tukapime maana mimi sipendelei kutumia condom demu akakubali tukapima tukakutwa na negative wote so nikampeleka mpaka ghetto langu demu yupo vizuri ile mbaya alinipa show ya kibabe Sana nimetoka pale nimeridhika kabisa nilimtoa usiku Sana so nikamtafutia bajaji nikamlipa bajaji amfikishe mpaka anapo kaa na nilimpa yule demu elfu 35 akaniuliza ya nini? Me nikamjibu hii ni kama Asante pokea tu usijali nitafurahi Sana utachukua demu akakubali akachukua.

siku ya jumamosi baada ya kupita siku moja tangu nimfumue yule yule demu akanipigia anataka aje home duh ilinishangaza cos nilijua ilishipita tumeshamalizana nikamwambia aje nikamgonga na nililala nae mpaka kesho akanipikia chai ikabidi nimuulize swali vip unakaa na boyfriend wako au mnakaa sehemu tofauti? demu akanijibu me nipo single nikastuka kidogo nikawa naona kama ananidanganya hivi binafsi sikutegemea maana demu ni mzuri mno kama ni level yupo kwenye most beautiful alafu yupo full package katika wanawake niliwahikudate nao ingawa ni wazuri ila hawajafika level ya huyu demu kwanza ana uzuri wa asili alafu ukichanganya na rangi ya mtume kwa msemo wa mtaani inakuwa balaa sasa.Demu akaniuliza Tena nifanye nini uliuniamini kwamba mimi nipo single but the end nikakubali nikaongea mambo mengi Sana siku ile tukaanza kufahamiana zaidi.

siku nyingine aliniomba niende kwake nikaenda siku hiyo hiyo akaniambia mimi nataka niishi na wewe hii kukutanakutana sio nzuri Sana kama itakupendeza uishi kwangu Hilo nililikataa nikamwambia utaishi kwenye ghetto langu mrembo akakubali tangu siku hii mpaka Leo ndio mpenzi natunakaribia mwaka hivi kwenye mahusiano


NB: Tangu nimedate na wanawake tofauti huyu ndio mwanamke wangu Bora Sana kuliko yoyote na ndio mahusiano yangu ninayoyafurahia Sana ninakula mahaba Sana na sio kwamba nina kipato kikubwa la hasha nina kipato Cha kawaida mwanamke amezama kwangu kimapenzi nami nimezama kwake.Ninalishwa, nikirudi home kabla yake ninavuliwa shati, ninafuliwa nguo sometimes nafanyiwa massage na ndio mwanamke nategemea kumuoa changamoto ni moja tu me ni mkristo wakati yeye ni muislamu alafu kwao wanaimani Kali Sana

Saint Anne
Darmian
DeepPond
Sky Eclat
Yna2
Shunie
Mzigua90
Kunguru wa Manzese
to yeye
Zero IQ
Mshana Jr
Carleen
Amehlo
Joanah
Hongera sana
 
Back
Top Bottom