Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Mkopo bila hati labda microfinance ndogo ndogo na benki ndogo ndogo na mkopo unakuwa mdogo.Kwenye issue
Kwanza sio mikopo yote itakulazimu kuweka dhamana au sio bank zote wanalazimisha kuweka dhamana. Kuna mikopo mingi tu isiyo na dhamana mfano kuna kitu kinaitwa Invoice Discointing. Hiyo kama ukiwa tayar na mahusiano mazuri na benki na historia ya akaunti yako wanaifahamu labda kwa miaka hata 5 utashangaa unapatiwa mkopo kwa mda mchache.
Shida inakuja mtu kafungua akaunyi benki haina hata mwaka anakuja anataka milioni 100 hapo lazima benki watake kwanza kupata hati ya nyumba ya thamani ya milioni 200.
Ila kwa mteja wa siku nyingi na tayari wanamfahamu, dhamana ni kitu cha mwisho sana sema huwa kinaonekana kuwa cha kwanza
Kwa benki kubwa Tz level za Crdb,nmb,tcb,exim,nbc,azania,akiba, lazima hati ya kiwanja iwekwe bond yenye thamani kubwa kuliko mkopo.
Naomba unitajie hiyo benki inayokopesha bila hati.