Kwa mazingira ya biashara Tanzania, mikopo ni kinga ya lazima kwa biashara yako

Online nimekopa na nimekinbia na line nimebadili...
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ hapo unajiharibia tu mkuu, kama una mpango wa kukopa benki na hauna dhamana. Wanakuwa wanakujua mkuu endapo jina lakolitatokea katika list ya wadaiwa sugu na kama unatumia vitambulisho vyako ndio unaharibu vizuri.

Mfano siku hizi kuna mikopo ya simu, mtu unaenda kumfanyia mtu mchakato kwa kitambulisho chako anakupoza. Sasa tabu nikuwa siku akikacha wewe unasomeka kama unadaiwa, hata kama unaona ahawakutafuti. Kuna namna inawezakuja kukupa ugumu mbele
 
Umenikumbusha juzi kati Kuna mtu kaniambia Jane hutaki mikopo utaishia kutusindikiza tu dah🀣🀣🀣
 
Juzi nimeanda crdb,hela ndogo tuu nilikua nataka ila masharti kibaooooo.


Mtu mwaka huu tu account yangu kwao imekua na mzunguko wa 50m,ila wananinyima 5m. Wanata hadi title deed ya kiwanja.


Simu yangu yenyewe tuu transaction yake kwa mwaka ni 10m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…