Kwa mbali nimeanza kuuelewa ulinzi mkali wa Rais...

Mara nyingine akili yako in fyatu.
Unawezaje kufananisha kitisho cha lowassa ambaye hakuwa na back up ya wastaafu na kitisho cha sasa chenye harufu ya nguvu ya watu waliowahi kushika dola?

Usiwe mjinga, unaposema watu waliowahi kushika dola unamaanisha nini? Mtu aliyewahi kuwa waziri mkuu huyo sio mshika dola? Ama hujui unachoongea dogo?
 
Usiwe mjinga, unaposema watu waliowahi kushika dola unamaanisha nini? Mtu aliyewahi kuwa waziri mkuu huyo sio mshika dola? Ama hujui unachoongea dogo?
Uwaziri Mkuu ni Dola gani?
Dola pekee ni yule mwenye mamlaka yote ndani ya nchi.
 
Usiwe mjinga, unaposema watu waliowahi kushika dola unamaanisha nini? Mtu aliyewahi kuwa waziri mkuu huyo sio mshika dola? Ama hujui unachoongea dogo?
Kama uwaziri mkuu ni authority/dola Pinda asingelia bungeni na kusema angekuwa rais....
!
 
kwani na wewe ni mtz,
 
Uwaziri Mkuu ni Dola gani?
Dola pekee ni yule mwenye mamlaka yote ndani ya nchi.

Kwahiyo Makamba na Kinana nao waliwahi kuwa na mamlaka yote nchini? Acha hoja za kulazimisha dogo.
 
Kwahiyo Makamba na Kinana nao waliwahi kuwa na mamlaka yote nchini? Acha hoja za kulazimisha dogo.
Nakuacha maana hata haunipati nilipo.
Fikra zangu zipo mbali sana na ulipo.
Na hautanielewa kamwe kwa uwezo wako huo finyu.
Kwa heri!
 
Kama Mambo ndani yako hivi Tena kwa watu wa karibu...kwa hawa tu tunaowajua..itakuwa vipi kwa Wale wengine tusiowajua?
Mzee Mwanakijiji inamaana unaturidhisha majibu ya maswali yetu ya, "ni nani Hawa wasiojulikana??? Basi andiko lako linathibitisha pia wasiojulikana ni Akina nani....
 
Hivi hawa wastaafu ule waraka ulikuwa umemlenga nani? Maana naona kama goli linahamishwa
 
ila inauma waliokuwa wanakesha kipindi kile wanapumulia gesi wkat akina bashite wanakula keki tu[emoji23][emoji16]
Walipaswa waache uovu. Hivi unadhani chini ya hao wakumbatia wezi nchi ingeendelea? Hata hivyo Dkt Magufuli vita keshaishinda, kilichopo ni mabaki ya wale waliotumia mbinu zote kushindwa sasa wanapiga kelele ka wachawi.
 
Nakuacha maana hata haunipati nilipo.
Fikra zangu zipo mbali sana na ulipo.
Na hautanielewa kamwe kwa uwezo wako huo finyu.
Kwa heri!

Kama haya unayosema ndio akili, basi kwangu ni uzandiki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…